Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Ok, shukran, nimekupata vyema mkuu.
Na ninaamini ndoto zitatimia.
Naanza kulifanyia kazi.
 
Baada ya Kadi what next?
Watajuaje u potential wako
 
maulidi kitenge
 
Ni afisa kipenyo pia
 
Chuo huwa wanafuata Nini sasa, au kuhusu mishe za migomo?
 
Sasa wajuane ili iweje?
Alafu nasikia hao jamaa nchi ikiwa chini yaJeshi wote wanakuwa raia tu.
 
Haa[emoji2][emoji23][emoji16][emoji3]
Taarifa Ni Chochote Kile Itakwenda Kuchujwa Mbele
Huwa nashangaa Kuna habari gani chuo?

Hivi Hawa jamaa wanaweza kuwa na account za fb au insta ambazo ni za muda mrefu au wanakuwa na zile za muda mfupi tu?
Kwasababu Kama wanazo za muda mrefu si watu watawajua tu
 
Mbona hao jamaa ni watu kama watu wengine tu pia wanaishi maisha kama ya watu mwengine pia hata mtaani wanapoishi wanafahamika sana tu.

Suala la kuzingatia ni kwamba sio watu wa kujichanganya na makundi ya watu ovyo ovyo na kama ni sehemu za starehe wakishaanza kuzoeleka wengu hua wanahama ili wasiendelee kufahamika.

Kuhusu wao kwa wao kufahamiana wanafahamiana tena vizuri kabisa ila hawawezi kamwe kuaminiana. Lakini kuaminiana au kutoaminiana ni suala la kawaida kwa wanadamu wote na hii ni kwakua hatuijui dhamira ya mtu moyoni mwake hivyo si jambo geni kwa mwanadamu.

Upekee wa hawa watu ni katika majukumu yao ya kikazi tu ila ukija katika maisha yao ya kila siku ni hayahaya tu tunayoishi sisi. Kama unataka kuwaona nenda kaishi kijitonyama au uwe muhudhuriaji mzuri kwenye Migahawa pale makumbusho...
 
Vipi Mkuu wanapesa au ni kama polisi tu.
 
Ile
Hizo nadharia tu wanafamiana na wanaishi kama ww na team yako ya kazin mnavoishi..kiufupi kazini hakuna rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…