Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

kwa hiyo Dr.slaa alipovunjwa mkono,ngeu na damu kibao pale arusha serikali haikujua kama ni usalama wataifa siyo
Sehemu ya kazi mkuu,
Kwaio slaa Yuko na mbowe ,wampite slaa wampige virungu mbowe peke ake,
Mbowe mwenyewe atastuka uyu nipo na snitch..
Yan we ulie kwenye mision ndo inabd upigwe kisawa sawa ili watu waamini we kweli kamanda serikali haikupendi ...

Jaribu kuchunguza wabunge wengi machachari Sana wa upinzani ndo waligeuza magari..
 
Kwamba Nchi za Ulaya na America hicho kitu hakipo??, Kwani hao Sijui TISS ni roho tu, hawana miili??[emoji23][emoji23].Km hawana roho tu Bali wana miili pia km Mimi Kabwela Fall Army worm na wewe ndugu yangu,na wametoka kwenye jamii zetu, hakuna Siri tena.Hao ni jamaa zetu hamna Sababu ya kuwapa special attention.
 
Nilishawahi kutana na mdada mmoja telegram dau lako liko poa tu nikaenda kujilia mzigo sasa baada game napumziko story zake ni kuhusu usalama wa Taifa tu akiuliza ivi namjibu vile nikahisi tu uyu ni mwewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Stori zingine bhana. Sasa anajiuza ili asaidie nini nchi kwenye isue ya usalama wa taifa.

Wanaokua madada poa mara nyingi wanafanya kazi hiyo kumtega mtu flani aingie kingi wakusanye taarifa zinazotakiwa. Siyo anakuja kujiuza telegram unaenda unamla, then what??

Atapelekea system taarifa za utamu au?
 
Nakubaliana na wanaosema kwamba TISS wanafahamiana hasa wale wa intake moja. Tukichukulia tu mfano wa wanajeshi. Si kweli kwamba wanajeshi woote wanafahamiana, labda wakiwa na magwanda, vivyo hivyo kwa polisi n.k. Wanaokua recruited kwa wakati mmoja na hasa course ikafanyika eneo moja basi hawa watafahamiana tu na watakua washkaji.

TISS anaishi maisha yoyote, popote ilimradi amehitajika kuishi hivyo na kuishi hapo kwa kazi anayotakiwa kufanya.

TISS wanaokua wanaajiriwa kwenye sehemu zinazohitaji utaalamu ili kufanya uchunguzi wa jambo, lazima pia awe mtaalamu wa fani husika ili kutosanukiwa. Mfano kazi kama; Daktari, Muuguzi, muendesha mitambo, uhamiaji, n.k. Huwezi leta mtu yeyote ukamuajiri eti akuletee taarifa tu, lazima awe mtaalamu ili adumu muda mrefu akiendelea kuchunguza.

Mission za TISS ndio zinazoweza kuwa za siri kati ya TISS na TISS mwenzie kwa sababu za kutovuruga mission.

N.B. Unapomkuta mtu Bar, amelewa anakuuliza "Unajua mimi ni nani" jua wazi huyo cyo TISS proffesional bali kapewa kazi hiyo kwa kujuana. TISS hawalewi wala kuropoka hovyo. TISS anatakiwa kutunza siri kiasi kwamba hata mke wake ambae ni raia wa kawaida asijue anaishi na nani.

TISS wakati wowote ni mtu wa kuchunguza chunguza. Kila muda anapopata upenyo ni muda kufanya kazi alotumwa.


Mwisho: Wale jamaa wanaomlinda rais ukiachana na mjeda Ni kikosi maalum chenye mafunzo ya juu kuliko TISS wengine. Ni kitengo maalum cha kulinda VIP's. Wale ni waya ya umeme
 
Ipo sababu ya kuwapa special attention.

Reasonable thinking inahitajika
 
Hukuomba ajira
 
Wenye mikwara mingi ni wale informers wa TISS na watu wengi wanashindwa kuwatofautisha hawa informers wa TISS na Tiss ambao ni waajiriwa na wako kwenye payroll ya Tiss hawa informers wanalipwa commission kulingana na taarifa unazopeleka
 
Nimeandika nikafuta, nikaandika tena kisha jikafuta.

Nashukuru sikupost nilichokusudia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wskati unaandika na kufuta nilikuwa nimesimama nyuma ya kiti chako. Nimeona ulichotaka kusema. Nakubaliana nawe usikiweke hapa maana mjadala utabadili upepo😅

Lakini kwa upande wangu sioni kama kuna afya kujadili suala la kuwafahamu ama kama TISS wanafahamiana. Haiondoi kero zetu kijamii.

Sisi shida yetu ni Sisiemu na majizi yake
 
Kama OCD anawaogopa wauza makopo,basi ni sababu ya ugaidi na sio sababu wanaweza kuwa watu wa usalama wa taifa.sambamba na wauza alkasus.



Sent using Jamii Forums mobile app
AHAA AHAAA AJHAA sasa muuza karanga kwa nafasi yake atapata taarifa gani zaidi ya nani kachelewa kufika ofisini nani anawahi, nani ana nguo mpya basi, sio kweli watu wanaongezea chumvi sana usalama wa kufaa makopo , kuuza karanga, kuuza magazeti sio siku hizi hizo ni enzi za low tech kujua nani anaishije , siku hizi kuna mpaka private inteligence ofiicers ambao wanatafuta habari zao nyeti kwa gharama zao kwa mifumo yao wanawauzia serikali wanalipwa , wengi ni na IT wizards , ndo taarifa zinazotakiwa sio taarifa za muuza karanga atapeleka habari gani mpya bora hata boda boda
 
Si ndio hapo!!!
 
Kimsingi tunawakuza mpaka nao wanashangaa.
Mtu pandikizi ambaye baadae anakuwa kama nape ana faida gani kujulikana zaidi ya kuivua nguo ofisi ya raisi???
 
Connecting ........
 
Hamna kitu humo aiseee.

Mambo ni PCCB NA DCEA 😃 😀 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…