Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Muundo wa TISS umeharibiwa Sana na CCM , Tz idara hii inayumba Sana undugu na ukabila umejaa Sana, ethics zote zimeporomoka!!

Swala la kujuana inategemea kitengo, si wote wanaojuana inategemea kitengo chako!!!

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
...hapo kwenye kunywa pombe sushani kama ni kweli mkuu- huku Tabata wanatusumbua mno kwenye mabar...nenda 49/40,Miccasa,BL etc utawakuta wanajiropokea tu
...kuna mmoja niliwashiana moto naye sana hapo Micasa coz alitaka kuniletea makuzi ya kishamba-alijua kila MTU ni wa kumbabaisha.
Wanajuana sababu Wana tabia zilizofanana. Wengi ni wakimya, Kuna vigezo vingine wanavyo pia Kama physique na vingine.

Wakikutana walitaka kukutana Wana code zao ambazo wenyewe kwa wenyewe wanazijua. Kwa bongo hawawezi kufuga ndevu, kunywa pombe kupiga kiasi, kuropokaropoka.

Nadhani pia waliyoingia intake moja wanafahamiana lakini Kama hawakuwa mafunzoni pamoja so rahisi kufahamiana. Mfano Toss aliyekuwa attached Kwa mkuu wa wilaya hawezi kumjua Tiss aliyekuwa labda Sabasaba Tantrade mpaka wajitambulishe kwa namba or sort of a code

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi ,weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!

Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wanausalama /TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa !

Yaani kila mmoja ana majukumu yake na mahala pa kureport. Hawana mazoea ya mwenzangu uko wapi , unafanya nini !

Hawaaminiani , hawajuani kivile !

Hii kitu ni kweli au ni mfumo kama tu wa TAMISEMI au taasisi zingine ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafahamiane wasifahamiane wote ni wauaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kufuga ndevu, si kweli kwamba hawafugi, wasiofuga ni wale wanaofahamika. Kila mtu ana purpose yake katika eneo husika kuna wengine ni wazugaji tu, wanakuwa na mwonekano usiokuwa wa kimaadili ya utumishi ili watu wasiwastukie. Hao ndio wakusanya taarifa wazuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huko mipakani kuna mmoja anafuga rasta kabisa nini ndevu?
 
Sasa wakijuana na kutengeneza mtandao usalama utakuwepo kweli? Lazima wasijuane! Na kila mtu anareport kwa bosi wake mmoja na anapokea maelekezo kutoka chanzo kimoja! Kwenye utendaji wanaweza kujuana lakini wachache sana labda 2 au 3 na tena ujui nani anamchunguza nani? Tena unakuta mwingine kazi yake ni kuchunguza mienendo ya mwenziwe na kureport basi! Hata hivyo kwa ngazi za chini maslahi hakuna na unatakiwa huwe mzalendo na kujitolea kwasaana! Ngazi za juu familia yako inaweza kutumiwa kukuwajibisha kama utazingua na unakuwa unajua hilo! Kwa ufupi sio kazi nzuri kama watu wanavyodhani! Sikushauri!
Sio kazi nzuri ..nakazia hapo.
 
Back
Top Bottom