wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Hujaeleweka , rudia kusoma tena ,mara ulikuwa unatumika bila kujijua,mara ulikuwa unajua unatumika .Mulemule mzee big up...niliwahi kutumika bila mwenyewe kujua katika haya mambo...nilipokuwa chuo nilikua na mahusiano na binti mmoja kumbe bhn ni MTU wa kitengo na nilikuja kujua mwaka wa pili wa masomo,na ana bosi wake kabisa ambaye ndio huwa anampa maelekezo siku moja nkamwambia natamani sana na Mimi nifanye kazi hii akanambia sikushauri ni kazi inayohitaji uzalendo na ni ngumu sana hasa kwa watu wa level za chini kama alivyokuwa yeye na akanambia pale chuo wapo wengi tu na huwezi kuamini wengine..sasa siku moja akanikutanisha na bosi wake bila kujua bosi akanitumia katika shughuli za nchi huku nikiwa sijui nilikuja kujua mwaka wa mwisho kabisa kazi ikiwa imeisha nilichoka...
Sent using Jamii Forums mobile app