Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
TISS imekuja kuharibiwa wakati wa Awamu ya 4. Ukabila na kujuana umeletwa na JK, watu walikuwa wanapewa kazi hata ambao hawana sifa. Baada ya JK kuona ameharibu hii idara ndipo akaanzisha kitengo ambacho alikuwa anawajua yeye tu labda na watu waliokuwa karibu nae ki protocol. Hapo ndipo TISS iligawanyika wakaanza kuogopana.Muundo wa TISS umeharibiwa Sana na CCM , Tz idara hii inayumba Sana undugu na ukabila umejaa Sana, ethics zote zimeporomoka!!
Swala la kujuana inategemea kitengo, si wote wanaojuana inategemea kitengo chako!!!
House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
God save us