Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Ukitaka kuwajua,jichanganye kwenye vijiwe vya kahawa,dafti na bao Wazee wa vijiwe hivyo wanawajua vizuri
Huwa wanawaitwa Askari wapelelezi
 
Wanabodi ,weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!

Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wanausalama /TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa!

Yaani kila mmoja ana majukumu yake na mahala pa kureport. Hawana mazoea ya mwenzangu uko wapi, unafanya nini!

Hawaaminiani, hawajuani kivile!

Hii kitu ni kweli au ni mfumo kama tu wa TAMISEMI au taasisi zingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
they work by secret code mfumo wao hautofautian na tabia za mbwa mwitu. ndio maana ukikosea unaliwa na mlie kula nyama pamoja.
 
Jamanieee hao usalama ni watu wa kawaida tu (hususani hawa wa hapa kwetu)

Tofauti kubwa iliyopo ni kwamba wanafanya shughuli zao kwa SIRI. Hapo ndio nguvu yao ilipo.

Hata wewe ukiweka maisha yako PRIVATE watu watakuwa wanakuogopa kwa kuwa hawakujui vizuri.

Hata Secret Societies kama Illuminati, Freemasonry, Klu Kla Klux et al zinatumia USIRI kama mbinu mojawapo.

Sababu nyingine: Kwa kuwa CCM inawatumia sana, hivyo imewapa nguvu fulani ( kuwaweka juu ya sheria kwa raia ) kiasi kwamba hata akikuonea huwezi kumfanya chochote.

Suala la kutoaminiana ni kawaida tu kwenye mambo ya ulinzi na usalama, hata walinzi hawaaminiani.

Na kuhusu kutojuana ni kawaida pia, hata mwalimu hajuani na walimu wote nchi nzima unless mmekuwa assigned sehemu moja.

Wanaruhusiwa pia kuwa na vifaa/silaha ambazo wewe raia huruhusiwi kuwa nazo kitu kinachowapa nguvu dhidi ya raia!

Mambo mengine yote ni yale yale.
Vp upande wa Mshiko..umenonaee..!!
 
Hapo kwenye kufuga ndevu, si kweli kwamba hawafugi, wasiofuga ni wale wanaofahamika. Kila mtu ana purpose yake katika eneo husika kuna wengine ni wazugaji tu, wanakuwa na mwonekano usiokuwa wa kimaadili ya utumishi ili watu wasiwastukie. Hao ndio wakusanya taarifa wazuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wako mpaka masheikh hili la kutokufuga ndevu ni uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi ,weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!

Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wanausalama /TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa!

Yaani kila mmoja ana majukumu yake na mahala pa kureport. Hawana mazoea ya mwenzangu uko wapi, unafanya nini!

Hawaaminiani, hawajuani kivile!

Hii kitu ni kweli au ni mfumo kama tu wa TAMISEMI au taasisi zingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye wilaya yako muone DSO au mkoani kwako muone RSO....
 
kweli mkuu hawaaminiani pia hawana tabia za kupokea simu hovyo yaani unaweza kupiga simu mpaka basi na isipokelewe pia. hawapendi kutembelewa
Basi na mimi ni TISS hizo tabia ulizoaninisha ni zangu, ahh nimekumbuka mimi sio TISS maana TISS hawajitaji
 
Tatizo hao mnaonaga ni watu special sana mbona wanajulikana kirahisi sana
 
TISS imekuja kuharibiwa wakati wa Awamu ya 4. Ukabila na kujuana umeletwa na JK, watu walikuwa wanapewa kazi hata ambao hawana sifa. Baada ya JK kuona ameharibu hii idara ndipo akaanzisha kitengo ambacho alikuwa anawajua yeye tu labda na watu waliokuwa karibu nae ki protocol. Hapo ndipo TISS iligawanyika wakaanza kuogopana.

God save us
Ni kweliii kbsa mkuu, Na awamu hii ya tano iliharibu Sana kipindi Cha Mchungaji Kapilimba hivi Sasa huyu Afande Diwani anahangaika tu kuweka vitu sawia japo mfumo ushaozaa kabisa!! Kule Jkt nakoenda kuchukua vijana wanafelii Sana Tena sanaa

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Back
Top Bottom