Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Muundo wa TISS umeharibiwa Sana na CCM , Tz idara hii inayumba Sana undugu na ukabila umejaa Sana, ethics zote zimeporomoka!!

Swala la kujuana inategemea kitengo, si wote wanaojuana inategemea kitengo chako!!!

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
...hapo kwenye kunywa pombe sushani kama ni kweli mkuu- huku Tabata wanatusumbua mno kwenye mabar...nenda 49/40,Miccasa,BL etc utawakuta wanajiropokea tu
...kuna mmoja niliwashiana moto naye sana hapo Micasa coz alitaka kuniletea makuzi ya kishamba-alijua kila MTU ni wa kumbabaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafahamiane wasifahamiane wote ni wauaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huko mipakani kuna mmoja anafuga rasta kabisa nini ndevu?
 
Sio kazi nzuri ..nakazia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…