Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

Nyoka....
 
Maafisa usalama ambao wameenda kozi pamoja kabla ya kupewa ajira hufamiana vizuri tu..

Sema kuna wale Majasusi ambao hutumika kufanya mission mbalimbali katika nchi za wenzetu wale ni ngumu kutambulika na wengi hufanywa siri labda wale wakubwa ambao wako juu ndio huwafahamu..

Ila kwa hawa ambao wako nchini wanafahamiana vizuri tu maana hugongana sana maofisini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tiss yetu ni ile squad inayomlinda rais the rest hawa wanywa ulanzi wa mikoani na mtaani mbona wanafahamika tuu

Sent from my I phone
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa asipotembelea V8 lake 90% ukiambiwa ni mganga wa kienyeji haubishi ila ingia 18 zake sasa ndio utamtambua ni mweupe anavaa bangili za kiganga mikono yote kama wacheza ngoma wa zeze kutoka vijijini

yote kwa yote jamaa anachapa kazi yake vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mfahamu itakuwa, [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…