Hamna Bhana Acha kutisha watu. Ukitaka ku enjoy Usalama au Jeshi uwe umesoma.
Kwa sasa ni kazi nzuri sana kwasababu unakuwa very much controlled kwa muktadha wa Information. Information is Power , so unajua ile Portion ndogo sana ya Information, na unaweza kufukuzwa kaz kama watumishi wengine ikiwa unakiuka madili ya Usalama.
Zamani ndio ilikuwa tabu , yaani mtu mmoja ana portion nyingi sana za Information kiasi kwamba ukiwa suspect , kifo ndio Jawabu lako.
Ungejua hakuna watu wanaokula National Cake bila kufanya kazi yoyote ngumu ni Usalama. Na kwa sasa wakizingua wanafukuzwa kazi na hata kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria.
Halafu pia tambua kwamba kuwa usalama sio Usnitch wala uadui, ni KAZI , kwa mfano wapo Usalama kazi yao ni kutibu, Ujenzi, ushonaji, injinia, yaani kila mtu fani yake, wengine Finance kazi yao ni kudadavua mahesabu, wengine kazi yao ni kutype barua za serikali, ....
Wacha watu wachague fani zao.
Leo nikikuambia Kitila Mkumbo ni Usalama utakubali ? Na alikuwa ni Mshauri wa Act Wazalendo, nikikuambia Slaa ni Usalama since day one akiwa Chadema utakubali ? Hawa wote ni Critical thinkers na ni wasomi ! Wanakula national cake tu ! Kama unadhani haya mambo yanatokea kwa Bahati mbaya baki hivo hivo.