claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 317
- 480
Nashangaa watu wanalamika mbona vyombo vya habari na watu wengine wapo kimya na wakati kitendo kilichofanyika ni uhalifu.
1. Kuchoma vituo na mabasi ya mwendokasi ambayo hata wewe unayatumia shame on you.
2. Kuchoma sheli za mafuta wakati wewe binafsi unazitumia shame
3. Kuvunja na kuiba maduka ya watu , kuharibu rasilimali za watu huu ni ujinga na uhalifu
Mngeandaa mabango muandamane kwa Amani
Utaanza kusikia wanaanza kulalamika usafiri ni wa shida wakati wao ndio tatizo duuh.
R.I.P wote tubadilike haki haitafutwi hivo.