claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 317
- 480
- Thread starter
- #21
Kwani mapaka serikali wakuruhusu?Ni serikali gani iliruhusu watu waandae mabango na waandamane kwa amani? Tuanzie hapo kwanza
Kwani mapaka serikali wakuruhusu?Ni serikali gani iliruhusu watu waandae mabango na waandamane kwa amani? Tuanzie hapo kwanza
Mgunda ndio nani? Wee ni kubwa jinga eeeh?.Kudai haki siyo kwa style hiyo ndugu yangu wangendaa maandamano ya amani na mabango na wawe na destination za kukutania Jesshi lingetulinda ndo mana mgunda kasema ni uhalifu maana maandamano hayakua organize
Kumbe jibu unalo sasa unaposema watu wabebe mabango na waandamane kwa amani wakati mama yako amekataa mabango na maandamano una maanisha nini?Kwani mapaka serikali wakuruhusu?
Are you that stupid or just pretending to be one?Kudai haki siyo kwa style hiyo ndugu yangu wangendaa maandamano ya amani na mabango na wawe na destination za kukutania Jesshi lingetulinda ndo mana mgunda kasema ni uhalifu maana maandamano hayakua organize
Wewe ni idiot first class, kwenye kudai haki yote hayo ni kawaida.
Wewe ni mpuuzi sana. Watu wameuliwa na waliosalia wakaamua kujilinda kwa kuziba barabara kwa kuwasha moto. Unafikiri wasingefanya hivyo wangeuliwa wangapi?? Kipi kilianza wewe mpuuzi uwashaji moto au mauji yenu kwa risasi za moto?? Sheli na magari yalichomwa kufikisha ujumbe wa maumivu kwa walengwa/ wandaaji wa mauaji.
Yaani huna hata haya kuzungumzia uhai wa binadamu unakimbia vitu?? Mpuuzi kabisa wewe. Damu hiyo itawala maisha yenu yote hadi kizazi cha nne.
Utakuwa mwehu weweMbona hasira kaka tujibizane kwa hoja