Ni kweli ukiwa na mwanamke kwenye siasa akiwa na cheo kikubwa huwezi kumshauri

Ni kweli ukiwa na mwanamke kwenye siasa akiwa na cheo kikubwa huwezi kumshauri

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Sijawa na jibu sahihi kwa swali langu, je hawa wanawake hakuna hata mmoja mwenye mume ambaye alimshauri na kumkataza kwenda kuwa viti maalum kuwa atakuwa ameona madhara yake, sasa mkewe kafukuzwa uanachama na ubunge hatogombea tena, mwanaume anamuambia nn mkewe au anamshaurije kwa sasa
 
Ukiwa na mwanamke mwanasiasa,wewe piga pumbu tambaa, usimfuatilie, cha kuangalia mimba nimeingia basi
 
Aliyekwambia watafukuzwa ubunge ni nani!???
 
Back
Top Bottom