Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ile kashifa ya pesa za ESCROW inamtafunaMsaidizi atabaki kuwa msaidizi tu katika usaidizi wake, mpaka itakavyo amuliwa vinginevyo na taasisi ya uteuzi.
Atasubiri kupewa ukamilifu wa muda kwa kukaimu, kwa kuelekezwa au kuagizwa na mkuu wake wa kazi cha kufanya cha kiaskofu..
Mbona Eusebius Nzigilwa pia alikuwepo kwenye escrow tena ni alikua msaidizi wa Pengo, lakini leo ni Askofu kamili jimbo la mpandaIle kashifa ya pesa za ESCROW inamtafuna
Alichukua akapeleka jimboni, Method yeye alienda kuchenga hotelMbona Eusebius Nzigilwa pia alikuwepo kwenye escrow tena ni alikua msaidizi wa Pengo, lakini leo ni Askofu kamili jimbo la mpanda
Nikusaidie tu, naona huelewi vizuri. Mwijage ni askofu mteule wa Bukoba, bado hajasimikwa, atasimikwa January 14, na sio askofu mkuu ni askofu wa kawaida a.k.a. askofu jimbo.Askofu Mkuu wa Jimbo katoliki la Bukoba ni muhashamu Baba askofu Jovitus Francis Mwijage
Huyo Methodius Kilaini ni askofu kamili wa jimbo gani gani?
Sio sahihi sana kusema ni msaidizi wa askofu, Kwa sababu msaidizi wa askofu anaweza kuwa shemasi, padre, sista, au mlei- yeyote anaemsaidia ktk suala fulani. Kilaini ni askofu msaidizi. Ni askofu kamili- ana daraja la uaskofu.Ni msaidizi wa Askofu
Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema.
Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana duniani. Taarifa zinasema Padri Kitima alishinikiza Baraza la Maaskofu wasome waraka wake makanisani kote nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama chake
Acha uchochezi. Mbona Askofu Gwaji-boy aligombea ubunge wa Kawe kwa ticketi ya kile Chama Chakavu na mpaka leo anadunda na hajavuliwa uaskofu wakeKuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema.
Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana duniani. Taarifa zinasema Padri Kitima alishinikiza Baraza la Maaskofu wasome waraka wake makanisani kote nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama chake
Huyu uaskofu alijipa mwenyeweMbona Gwajiboy ni askofu halafu pia ni mbunge wa kawe halafu bado sisi vijana wa kawe hajatutekelezea ile ahadi ya kwenda kusoma samaki nje ya nchi[emoji3][emoji3]
Hawezi tekeleza jukumu lolote la kiaskofu bila ridhaa wala idhini ya askofu mkuu wa Jimbo husika. Ndio maana anabaki kuwa msaidizi kama alivyo paroko msaidizi, japo nae ni padre ila hawez tekeleza jukumu la kiparoko ispokua kwa idhini ya paroko mahalia....Nikusaidie tu, naona huelewi vizuri. Mwijage ni askofu mteule wa Bukoba, bado hajasimikwa, atasimikwa January 14, na sio askofu mkuu ni askofu wa kawaida a.k.a. askofu jimbo.
Methodius Kilaini ni askofu kamili. Yeye ni askofu msaidizi wa hilo jimbo la Bukoba. Kumbuka unaweza kuwa askofu lakini usiwe na jimbo, bali una majukumu mengine eg. askofu msaidizi, utumishi ktk ofisi za Vatican au shughuli za kidiplomasia kama alivyo askofu mkuu Novatus Rugambwa
Kilaini ni AskofuKwan Methodius kilaini alitaka kugombea wap na kwa chama gani akanyimwa uaskofu mpaka wa leo?
Askofu Msaidizi ni AskofuKwan Methodius kilaini alitaka kugombea wap na kwa chama gani akanyimwa uaskofu mpaka wa leo?
Askofu Msaidizi si ndiyo cheo chakeSio sahihi sana kusema ni msaidizi wa askofu, Kwa sababu msaidizi wa askofu anaweza kuwa shemasi, padre, sista, au mlei- yeyote anaemsaidia ktk suala fulani. Kilaini ni askofu msaidizi. Ni askofu kamili- ana daraja la uaskofu.
Labda ungerejea argument imeanzia wapi. Ni je! Kilaini ni askofu kamili au la! Jibu ni: Kilaini ni askofu kamili.Hawezi tekeleza jukumu lolote la kiaskofu bila ridhaa wala idhini ya askofu mkuu wa Jimbo husika. Ndio maana anabaki kuwa msaidizi kama alivyo paroko msaidizi, japo nae ni padre ila hawez tekeleza jukumu la kiparoko ispokua kwa idhini ya paroko mahalia....
Alipoondolewa Dar akapelekwa Bukoba kuwa msaidizi.
Wakateuliwa wasaidizi wawili Salutaris Libena- akishughulika masuala ya Litrujia na Eusebius Nzigilwa - akishughulika na na masuala ya kijamii..
Lakini baadae hawa vijana wakawa maaskofu Kamili wa majimbo ya Ifakara na Rukwa.
Kwahiyo askofu msaidizi, mathalani Henry Mchamungu wa dar salama ana majukumu mengine sio usaidizi wa askofu wa dar, right?
Na wale maabate unadhani wanaweza kua na majuku gani zaidi ya hayo maalumu ?
Ukiwa msaidizi unawajibika kwa unaemsaidia na akikutuma cha kufanya.
Ule ni utume unaozingatia hoarakia vikali sana...
Mwenye kuwajibika mojakwamoja Vatican ni cardinal
Rejea swali lako ulipouliza: 'Kilaini ni askofu kamili wa jimbo gani?'Hawezi tekeleza jukumu lolote la kiaskofu bila ridhaa wala idhini ya askofu mkuu wa Jimbo husika. Ndio maana anabaki kuwa msaidizi kama alivyo paroko msaidizi, japo nae ni padre ila hawez tekeleza jukumu la kiparoko ispokua kwa idhini ya paroko mahalia....
Alipoondolewa Dar akapelekwa Bukoba kuwa msaidizi.
Wakateuliwa wasaidizi wawili Salutaris Libena- akishughulika masuala ya Litrujia na Eusebius Nzigilwa - akishughulika na na masuala ya kijamii..
Lakini baadae hawa vijana wakawa maaskofu Kamili wa majimbo ya Ifakara na Rukwa.
Kwahiyo askofu msaidizi, mathalani Henry Mchamungu wa dar salama ana majukumu mengine sio usaidizi wa askofu wa dar, right?
Na wale maabate unadhani wanaweza kua na majuku gani zaidi ya hayo maalumu ?
Ukiwa msaidizi unawajibika kwa unaemsaidia na akikutuma cha kufanya.
Ule ni utume unaozingatia hoarakia vikali sana...
Mwenye kuwajibika mojakwamoja Vatican ni cardinal
Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga kugombea ubunge kupitia Chadema.
Kanisa katoliki lolinasifika kwa kuwa na intelijensia Kali sana duniani. Taarifa zinasema Padri Kitima alishinikiza Baraza la Maaskofu wasome waraka wake makanisani kote nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama chake
Kiufupi wasaidizi uliowataja hawana mamlaka ya kutekeleza wajibu wa kiaskofu ispokua kwa maelekezo na maagizo ya askofu mahalia....Labda ungerejea argument imeanzia wapi. Ni je! Kilaini ni askofu kamili au la! Jibu ni: Kilaini ni askofu kamili.
Rejea swali lako ulipouliza: 'Kilaini ni askofu kamili wa jimbo gani?'
Jibu ni: Askofu sio lazima awe na jimbo ndio awe askofu kamili. Unaweza kuwa askofu lakini ukapewa majukumu mengine, tofauti na jimbo, kwa mfano 1) Kardinali Protase Rugambwa (hapo awali) alikuwa askofu wa jimbo la Kigoma. Baadae akatolewa, akapelekwa Rome kuwa katibu wa idara ya uenezaji injili- bado ni askofu kamili. 2) Askofu mkuu Novatus Rugambwa hajawahi kuwa na jimbo, anafanya kazi za kidipolmasia- (balozi wa Vatican sehemu mbalimbali)- bado ni askofu kamili. 3) Maaskofu Kilaini, Mchamungu,/Stephano Musomba na Prosper Lyimo, ambao ni maaskofu wasaidizi, hawa wote ni maaskofu kamili.
Huyo tapeli atakuja na ahadi mpya 2025Mbona Gwajiboy ni askofu halafu pia ni mbunge wa kawe halafu bado sisi vijana wa kawe hajatutekelezea ile ahadi ya kwenda kusoma samaki nje ya nchi[emoji3][emoji3]
Huyu uaskofu wake wa mchongo, unapewa kama ule u Dr wa viongozi wetu.Mbona Gwajiboy ni askofu halafu pia ni mbunge wa kawe halafu bado sisi vijana wa kawe hajatutekelezea ile ahadi ya kwenda kusoma samaki nje ya nchi[emoji3][emoji3]