Ni kweli walikaacha kachanga hako hai na kwenda Nako hukoo juu? Kaliishi miaka laki 6, baadaye kaliasi na kutupwa chini na ndiyo anasumbua Dunia?!

Ni kweli walikaacha kachanga hako hai na kwenda Nako hukoo juu? Kaliishi miaka laki 6, baadaye kaliasi na kutupwa chini na ndiyo anasumbua Dunia?!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Huwa sipendi kuhoji Imani za watu wengine kwani Kila mtu ana Imani yake nahivyo huwa namheshimu

Hata hivyo Leo nimeona nihoji japo kwa uzuri tuu.

Kwamba waliagizwa na bosi wao kuua wazazi, Ndugu na jamas zake wote japo wengineo walifanikiwa kutorokea baharini

Kwamba katoto kalibakia pekeyake na wakaona kabla ya kukaua kama walivyoagizwa basi wamuulize bosi aliyewatuma

Kwamba bosi akawaagiza wasikaue hako katoto kachanga ila waende nako hukoo juuu


Kwamba katoto hako kachanga kaliishi na makamanda walioua Ndugu zake hukoo juu miaka laki 6 kabla ya baadaye kuasi

Kwamba kalipoasi kalitupwa hapa Duniani na hadi leo ndiyo kanaendelea kusumbua Dunia kwa mateso ya kila namna

Kwamba kwa sasa siyo katoto kachanga tena bali kamekuwaaa kubwa la maàdui kakiwa na weledi mkubwa kalikojifunza kakipokuwa juuuu

Wenye elimu mtujuze ilikuaje wakaacha kukaua kama walivyoagizwa?

Mchana mwema
 
Back
Top Bottom