AND SOMETIMES VICEVERSA IS TRUEHabari za humu wana jamii forum wote.
Hii mada imemili sana katika suala la maamuzi ya Wanawake hasa katika mambo kadha wa kadha ila hasa katika mahusiano.
Mada hii naiweka katika mtindo wa swali na hii ni kutokana na watu wengi huwa wanawasema Wanawake ya kuwa wanatumia sana hisia badala ya akili.
Swali
Je ni kweli Wanawake mnatumia hisia badala ya akili katika kutoa maamuzi au ukweli ni kinyume chake ?
Karibuni sana.
NGOJA WAJE ILA TAMBUA SOMETIMES HAWAELEWEKI WANATAKA NINI
AND SOMETIMES VICEVERSA IS TRUE
Shukrani kwa mchango wako.Mi binafsi natumia hisia akili naziacha mwenye miguu,nikitibuka tu hata sijiulizi Mara 2 ACTION
Shukrani kwa taarifa.Tanesco wametangaza mgao wa Umeme kwa siku 10
Shukrani.Inategemea Ntu na Ntu
Jifunze kuweka kila kitu mahala pake.Hiyo inakusaidia vipi kuleta ugali mezani?
Ni siku 12Tanesco wametangaza mgao wa Umeme kwa siku 10
Nenda jukwaa la mapishi bloo kama shida ni ugaliHiyo inakusaidia vipi kuleta ugali mezani?
Acha usumbufu dogoShukrani kwa mchango wako.
Unatumiaje hisia ? Yaani inakuwaje kuwaje.
Kuna kitu nimegain hapa Kuna fact flan ndan ykeHata usiumize Kichwa.. Ninachoandika kwenye Nyuzi zangu kuhusu wanawake na HISIA.
Kipo ivo na Kitabaki ivo Milele na Daima.
Ninachoandikaga, Hata wanawake wanakijua, na hawapendi kuona wanaelezewa kiundani wapi palipo na udhaifu wao.
Ivi unategemea, Akuambie hali halisi??ili ujue penye udhaifu.
Hata usiumize Kichwa.
[emoji117]Leo nimechukua namba za wanawake 7, sijawa tongoza ila kuna namna nimewachomekea yaan nmeandika meseji moja mida ya saa 12 jion, alafu nikaifowadi kwa wote.... Na majibu yao yakawa yanatoka vile vile as if wako sehem moja, namm mwendo ukawa niuleule wa meseji moja na fowadi..baadae kila mmoja akaanza kuja na ohoooo Mie mke wamtu, ohoooo sijawah...ohooo wee Mme wa MTU.
KWA UFUPI WOTE 7 WAMEKUBALI, NA KESHO NACHAKATA WAWILI.
kuhusu mambo mengine, kuna masuala ndio wanatumia akili .
LAKINI KAMA UNAZUNGUMZIA MAPENZI, AKI YAMAMA, MWANAMKE ASINGEMPENDA KIPOFU, BUBU, KILEMA, MZEEE, MASIKINI, MUHUNI ...YAAN KAMA NI AKILI WANGEKUA WANATAFUTA MWANAUME KWA AKILI.
MWANAMKE ANAKUKUBALI KWA HISIA.... ILA KUKUACHA AU KUKUKATAA ANAKUA NA SABABU, NAHIYO SABABU ATAIPATA KAMA UMESHINDWA KUCHEZA NA HISIA ZAKE.
But unacheza vp na hisia zake Kam ameshaamua kuwa kwa Sasa bas inatosha hapokei Tena cm Wala kujb smsKuna kitu nimegain hapa Kuna fact flan ndan yke