- Thread starter
- #21
Sawa, nimeacha usumbufu.Acha usumbufu dogo
Ila wewe jasiri sana aisee, unaniita mimi "Dogo".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, nimeacha usumbufu.Acha usumbufu dogo
Sawa.Ngoja waje.
Kuna watu wajinga sana sijapata kuona ila humu jf.Nenda jukwaa la mapishi bloo kama shida ni ugali
Shukrani kwa maelezo mazuri na yenye kujitosheleza.Wapo wanatumia hisia na wapo wanatumia akili inategemea na mtu na mtu
Nakuelewa uzuri bibie.we sie tunatumia PESA
Unaweza kuyaweka kwa mtindo wa asilimia maelezo yako ? Yaani namaanisha kuugawa kwa ziada kwa maana je ni asilimia zaidi ya 50 wanatumia hisia au akili ?Hata usiumize Kichwa.. Ninachoandika kwenye Nyuzi zangu kuhusu wanawake na HISIA.
Kipo ivo na Kitabaki ivo Milele na Daima.
Ninachoandikaga, Hata wanawake wanakijua, na hawapendi kuona wanaelezewa kiundani wapi palipo na udhaifu wao.
Ivi unategemea, Akuambie hali halisi??ili ujue penye udhaifu.
Hata usiumize Kichwa.
[emoji117]Leo nimechukua namba za wanawake 7, sijawa tongoza ila kuna namna nimewachomekea yaan nmeandika meseji moja mida ya saa 12 jion, alafu nikaifowadi kwa wote.... Na majibu yao yakawa yanatoka vile vile as if wako sehem moja, namm mwendo ukawa niuleule wa meseji moja na fowadi..baadae kila mmoja akaanza kuja na ohoooo Mie mke wamtu, ohoooo sijawah...ohooo wee Mme wa MTU.
KWA UFUPI WOTE 7 WAMEKUBALI, NA KESHO NACHAKATA WAWILI.
kuhusu mambo mengine, kuna masuala ndio wanatumia akili .
LAKINI KAMA UNAZUNGUMZIA MAPENZI, AKI YAMAMA, MWANAMKE ASINGEMPENDA KIPOFU, BUBU, KILEMA, MZEEE, MASIKINI, MUHUNI ...YAAN KAMA NI AKILI WANGEKUA WANATAFUTA MWANAUME KWA AKILI.
MWANAMKE ANAKUKUBALI KWA HISIA.... ILA KUKUACHA AU KUKUKATAA ANAKUA NA SABABU, NAHIYO SABABU ATAIPATA KAMA UMESHINDWA KUCHEZA NA HISIA ZAKE.
Sor broSawa, nimeacha usumbufu.
Ila wewe jasiri sana aisee, unaniita mimi "Dogo".
100% ya wanawake katika suala LA mahusiano hutumia Hisia sio Akili.Unaweza kuyaweka kwa mtindo wa asilimia maelezo yako ? Yaani namaanisha kuugawa kwa ziada kwa maana je ni asilimia zaidi ya 50 wanatumia hisia au akili ?
Lakini kwa maelezo yako huwezi kumtofautisha Mwanamke na Mwanaume, wakati kiuhalisia sisi na Wanawake tuko tofauti, nini namaanisha hapa, namaamisha ya kuwa maelezo yako yamemili upande mdogo sana.