Ni kweli wanawake hutumia hisia kufanya maamuzi badala ya akili?

Wapo wanatumia hisia na wapo wanatumia akili inategemea na mtu na mtu
 
Wapo wanatumia hisia na wapo wanatumia akili inategemea na mtu na mtu
Shukrani kwa maelezo mazuri na yenye kujitosheleza.

Kuna mwalimu wangu mmoja alipata kuniambia ya kuwa wapo wanawake wenye akili kutuzidi sisi Wanaume. Naendelea kusoma maoni yanu.
 
Unaweza kuyaweka kwa mtindo wa asilimia maelezo yako ? Yaani namaanisha kuugawa kwa ziada kwa maana je ni asilimia zaidi ya 50 wanatumia hisia au akili ?

Lakini kwa maelezo yako huwezi kumtofautisha Mwanamke na Mwanaume, wakati kiuhalisia sisi na Wanawake tuko tofauti, nini namaanisha hapa, namaamisha ya kuwa maelezo yako yamemili upande mdogo sana.
 
Sasa hisia tulipewa ili tuzifanyie nini Kama siyo kuzitumia?
 
100% ya wanawake katika suala LA mahusiano hutumia Hisia sio Akili.


Mambo mengine huko ndio hutumia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…