Promethazine
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 262
- 260
Mbona kama vile ya Serena Hotels[emoji2] [emoji2]HEBU TUANZE NA HIYO LOGO HAPO ILI TUJUE NI YA KAMPUNI GANI...
JE NI LOGO YA HOSPITAL..??, HOTELI..?? AU KAMPUNI INAYOTENGENEZA NGUO BAADA YA HAPO TUENDELEE NA MJADALA...
Dr umemisika,
Umeanza kukubali?[emoji23][emoji23][emoji23]Sijui huyu Dada ana gundu la wapi.
Kwani dawa haiwezi kukata kona?Wastara yeye hiyo cannula aliwyoweka mkononi inageukiaa kuelekea kwenye Vidolee akati Njia sahihi kabisa ilibidi Hicho kidude kigeukie upande mwingne kama haoo wengine... So kiufupii hakuma Hospital Duniani inaweza mwekea drip mtu kwa njia hiyooo
Kwanza wastara unamfahamu?Hebu tueleweshen vzr, mbona mnaandika andika kama vile kila mtu anajua kilichojiri.
PasukaMsifatilie yasiyo wahusu... Hata hamkuchangia...
Alizofuta si ndo hizo hapo zilichukuliwa kabla hajafuta.Laiti ungeweka na hizo alizofuta ungeeleweka. Kutokufanya hivyo, ni uzushi na upotofu kuleta mada kama hiyo, isiyojitosheleza
Hili nalo linaongea vya kwake tuKwa hio kumbe mkuu zile 15m ilikuwa maigizzo watz wajue jamaa anajali au
Shkamoo sana .hahaha hahaHalafu ambavyo hajui kucheza na akili kubwa ni pale amepiga picha huku nesi amesimama pembeni akiwa na nguo za manesi wa bongo halafu ana bonge la tako sasa lini mhindi akawa na tako vile
Moja kidole kina pete nyingine kidole hakina mwili wa mkono mmoja canula tofauti
Mange Kimambi alibet kuwa huyu dada anatufanyia movie, eti hela anafanyia starehe!!! Binafsi sijui kinaendelea niniHivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.
Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.
Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
Hiyo mingine ni picha za mikono mingine ya watu wengine zimeunganishwa na picha ya wastara uone utofautiCbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.
NB:Wastara naamfaham na hainafaida kumwelezea yeye n nan kwang au kwako.
Sheraton ya Dubai,. 100pec alishuka kula bata Dubai Kwa bahat mbaya akakutana Na wabongo wanaomjua ikabidi aue soo kabla hawajamuumbuaHebu tueleweshen vzr, mbona mnaandika andika kama vile kila mtu anajua kilichojiri.
HEBU TUANZE NA HIYO LOGO HAPO ILI TUJUE NI YA KAMPUNI GANI...
JE NI LOGO YA HOSPITAL..??, HOTELI..?? AU KAMPUNI INAYOTENGENEZA NGUO BAADA YA HAPO TUENDELEE NA MJADALA...
Unafikiri kwa tatizo lake atafanyowa dispensary?issue sio kuzingua ila tumuulize wastara hii tiba anapata wapi? hii ndio itakuwa pivot yetu ya kuendelea na huu mjadala otherwise tunamuonea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 693510 MM MWANAUME