Promethazine
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 262
- 260
Mimi na nursing yangu ndogo
1.Sijawahi kuona cannular ikielekezewa upande wa vidole, blood flow hairuhusu kitu hicho ukilazimisha ganglin itatokea.
2.Cannular huwa hairundikiwi plasters kijinga hivyo, kuna namna ya kuibana ili kuruhusu venous flow.
3. Hakuna straight line itayopatikana kutokea kwenye hiyo point kuelekea kwenye vidole.