N liccm hlo lidadaBisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Wabongo kwa kutetea ujinga utaambiwa mrija wa chakula umewekwa kwenye makalio kwasababu Za kiafyaKUWA MUELEWA, TATIZO SIO ILIPOWEKWA, BALI UELEKEO WA HIYO CANNULA NDIO UNAOTATANISHA, HAPO NI SAWA NA UWEKEWE MRIJA WA KUKULISHA CHAKULA KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA BADALA YA KINYWANI AU SHINGONI
ukiiweka wewe inatoshaWekeni akiba ya maneno...
Mtaumbuka.
hahaaa you nailed itYulee Ni FBI kabisaaa..
Huu ni moja ya mifano ya tabia za wanawake wa zama hizi,fikiria km mwanamke yupo radhi kumbambika mume ubakaji,uf*raji nk ili aonewe huruma na mahakama,mkuu kuna hizo type za wanawake, nadhani ni majini labda wnakuwa nayo, yani yeye anajivesha imani ya kuwa anastahiki kuonewa tu huruma, ukimshauri tofauti anakuona ni mtu mmoja katili sana, matokeo yake kama akiolewa utakuta familia haiendi, na ukiweka h/girl kwa ukali anaweza kuacha kazi, na mwishowe anaweza kwenda kw wazazi wake kuugulia kwao in undefined duration, nimeshashuhudia mdada wa dzain hiyo. tumtumie huyu na wanaoanana naye kujua na kutatua tatizo
Umemwelekeza kwa upendo hadi nimekupendaHapana Dada watu hawsongelei eneo bali direction ya flow. Yaan imewekwa kwamba dawa iende vidolen badala ya kwenda juu began
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hilo tako hata ni dogo lakini utakusanya matako ya wahindi kumi ndo yalifikie hiloWabongo bwana...kuna jamaa katoa comment huko juu eti nurse ana bonge LA tako....., sasa hilo ni tako au kijitako?
Wewe umeangalia picha zote na utofauti wake? Angalia picha ya kwanza halafu compare and contrast na zinazofuata na pillow.Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
ni kweliKwa maelezo ya Dr.Luis amemwambia Mange kimambi kuwa hiyo Cannula imekosewa kuwekwa.
dahhh ni shida,ila aliyepigwa pyu-pyuuu!! yeye hapewi hata senti tano ya mkulu,inaonekana anahusikaTaifa la majuha mtu akilia tu anapewa maburungutu ya hela
Fuatilia comments za watu wengine utajua hoja ni nini. Kuwepo hapo si hoja, wengi wanawekewa hapo. Hoja ni uelekeo wa hicho kisindano cha kuingizia dawa, cannula kimeelekezwa kwenye vidole badala ya kuelekezwa kule inakotakiwa dawa kuelekea. Angalia hizo picha zingine zilizoambatanishwa hapo utaona usahihi wake na utagundua hiyo yake iko wrong.Mshipa umepatikana hapo na dokita katumia uzoefu wake kufanikisha dawa iingie , mi naona IPO sawa wana JF tulizeni jaziba mtoto Wastara anaumwa muombeeni apone mapema.
Tatizo hawezi kurudi kushukuru, waTZ ni shida.Umemwelekeza kwa upendo hadi nimekupenda
kwakweli hili linatia moyo ktk hili hata raisi tunaye hawezi toa povu anaisikilizia tu kimyakimyaHii hadi magu kaingia kingi
Hizo ni uniform za manesi wadogo wa tzHaa ha... AFUU WAHINDII WABAGUZII HATARIIII..!! Leoo hiii huyo mdada black apatee ajiraa huko india kirahisi tu??? Alafu kwamba huyo dada nesi alisomea nchini kwake Hasa afrika maaana ni mweusi afuu Akaenda kuajiriwa India??? Na uniform ofcoz ni Tanzania Nurse Assistant so hapoo ni mvurugano.. Ukifatiliaa kwa umakini utajua MAMA CANNULA KATUTAPELIII...KATUPIGAA MPUNGAA