Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

uwiii nilimtumia buku tano yangu itabidi arudishe hakuna namna!!!!!
 
Binafsi simuhukumu sababu maumivu anayopata siwez kufananisha na kitu ila nnachojua anaumwa namuombea mungu apone .
Na akishapona tutamchokonoa atupe ful story kisha tutathmini kama alisema uongo tumchane bila ganzi
 
Imeandikwa wapi!?..Hana biashara?.. alikua omba omba kabla ya kuwa raisi?..
Habari za biashara hazitambuliki, mtumishi yeyote kipato chake ni mshahara ambao ni kodi zetu
 
una umwa wewe... ila tofauti wewe una tembea wengine wapo kitandani...

[HASHTAG]#kama[/HASHTAG] ile pesa ime toka katika kodi ya wananchi basi ule ni msaada kutoka kwa watanzania sio Rais...!
Sasa unaungana na mimi halafu unaniita mgonjwa

Pimbi kweli wewe
 
una umwa wewe... ila tofauti wewe una tembea wengine wapo kitandani...

[HASHTAG]#kama[/HASHTAG] ile pesa ime toka katika kodi ya wananchi basi ule ni msaada kutoka kwa watanzania sio Rais...!
Sasa unaungana na mimi halafu unaniita mgonjwa

Pimbi kweli wewe
 
mshahara ni nini? kodi ni nini?

nani anatakiwa kulipa kodi? nani hastahili kulipa kodi?

NB:
Yawezekana nawe ni miongoni mwao wano semwa na wastara...
Kwamba?
 
Kabisa mkuu, tunaombeana mabaya tu.

Ukiona mwenzetu ananyanyuka hata kiuchumi au mafanikio yanamjia tunaanza kumjungua
Unyanyukaji wa kiuchumi kitapeli utapingwa tu
 
Sasa tusimchukie mange bas ndio amewamshwa hivyoo me nilikua ata sijui cannula sijui inaenda vip[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Watanzania kwa kulialia hawajambo. Mtu alikuwa msanii alikuwa anapata kipato. Hakuwekeza akiba au alikuwa anakula na kusaza.
Kuna watu wako vijijini hawajawahi kushika elfu 10 wengine wamekatwa miguu miwili. Bado wanapambana na hali zao. Hawalii mitandaoni. Kujulikana isiwe sababu ya kuomba omba
 
juma ponda Mali alijua ile ni inshu really kumbe wastara alikua location na movie inaendelea
 
Ukubwa wa kichwa sio wingi wa akili[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…