Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Bado nalinganisha rangi ya nesi huyu na yule wa mwanzoWadau wa Jamii Forums siku mbili zilizopita pamekuwa na habari zikieleza kwamba huenda Wastara hajaenda India kutokana na utata katika picha alizokuwa anatuma.
Hizi hapa ni picha zinazoonyesha yuko India akiendelea na matibabu.
Ukweli ni upi?View attachment 693945
Umeangalia vizuri uelekeo wa cannula?
yupo ki-international zaidHuyu dada kuna tatizo mahali..
Kama anaweza hata kumchezesha movie mkuu wa nchi basi ameshindikana.
Hahahaha inakata kona!!!Labda dawa inashuka kwenda vidoleni ili ikate kona kwa urahisi kufika kwenye ule mguu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Daah... Ukweli mchunguuuWatanzania kwa kulialia hawajambo. Mtu alikuwa msanii alikuwa anapata kipato. Hakuwekeza akiba au alikuwa anakula na kusaza.
Kuna watu wako vijijini hawajawahi kushika elfu 10 wengine wamekatwa miguu miwili. Bado wanapambana na hali zao. Hawalii mitandaoni. Kujulikana isiwe sababu ya kuomba omba
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Labda dawa inashuka kwenda vidoleni ili ikate kona kwa urahisi kufika kwenye ule mguu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bora kamtapeli huyo anazo nyingi.Yanii me bado sipati jibuu... Amemtapeli mpaka rais
Kuna mtu alimpa ushauri kwamba bora ungekuja hapa Mbagala tukaingia room nikakuwekea cannula ukapiga picha ukapost kuliko kujicost kwenda India still unafake ..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya Mbombo nunu haya
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mkuu tena kuna wahindi kibao mbagala unawavalisha koti la muuza bucha ya nyama tu mapicha picha ya kumwaga insta mambo yanakwenda. Amesumbuka bure na cannula za elekeo usiotazamika. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Google mbombo nunu uelewe maana yake, sio kukurupuka kama umebanwa Na ushuziAcha matusi mkuu. ungesema penis kubwa ingetosha
Khaaa we baba weee!!!usiwe unatafsiri lugha kama huielewiaAcha matusi mkuu. ungesema penis kubwa ingetosha
Atapaje kiki?Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu
Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule mzee namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
Atapataje kiki?