KUWA MUELEWA, TATIZO SIO ILIPOWEKWA, BALI UELEKEO WA HIYO CANNULA NDIO UNAOTATANISHA, HAPO NI SAWA NA UWEKEWE MRIJA WA KUKULISHA CHAKULA KWENYE NJIA YA HAJA KUBWA BADALA YA KINYWANI AU SHINGONIMama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
thibitisha hilo........Hajajiwekaaa...kategeshewaa tuu ilii apige pichaa atumee kuridhisha watuu...!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wastara anatakiwa afike mahali aache kujianika mitandaoni ili kupata huruma ya watu
Anatakiwa atulie tu vinginevyo sizonje atakuja kumdai hela yake maana yule namjua kama nimemzaa mimi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vile
In mange voice[emoji38][emoji38][emoji38]
Ndo zao wasukuma kutapeliwa si ndo washamba nambari wani njini
Kilichomfanya afute hiyo picha ni nini .?Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Kukosa kiungo sio jambo rahisi, hadi ukubaliane na haliHuyu mwanamke kila ninapomuona kwny picha huwa anakuwa analia, Ana matatizo gani? Hivi yy Ndio wa kwanza kupata Ajali na kuumia?
Huwa analilia nn haswa?
Kwa hio kumbe mkuu zile 15m ilikuwa maigizzo watz wajue jamaa anajali auHivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.
Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.
Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
kuweka yeye au ma nurses/drs ndo wamekosea? kwako halipo.....tusihukumu kila wakati,,,,,,tujiulize yupo wapi wanakotoa tiba kwa style hii? then tukianzia hapo tuendelee na kuhoji mboja tiba wanakupa tofauti?Picha huzioni au????
acha kusema kisema kama taifa je ulichanga?!!Kama taifaa tulichangaaa...ebuu kitulizee au wew msomali
Mkuu naona mikono ya watu 2 tofauti hapo.M1 uko kama mzungu Mzee ,mwengne uko kama mwafrika kijana.(Inawwzekana mkono m1 c wa wastara)Hivi kama ni kweli yule dada anatufanyia movie anatoa wapi moyo wa ujasiri kiasi hichi? Yani anatufanya sisi kama watoto wadogo.
Watu wanachanga pesa yeye sijui anaenda kufanya nini huko nje ya nchi. Kujidai yupo hospitali anapiga picha kumbe hata Cannula kakosea kuwekwa.
Technology inamuumbua anaanza kufuta picha alizopost. Huyu dada kuna shida mahali. Kama ni kweli Mungu amsamehe zaidi apone matatizo yake.
Haaaa.. Wee jamaa unazinguaa...!! Ndo maana doctor wa Bongo anaweza fanya kazii sehemu popotr palee sababu Njia za utoaji matibabu kwa magonjwa Mengi ni mojaaa!! Sasa wew hiyo drip iwekwee cannula inaelekea kweny Vidolee maana ake dawaa inaenda kwenye Kucha au!???kuweka yeye au ma nurses/drs ndo wamekosea? kwako halipo.....tusihukumu kila wakati,,,,,,tujiulize yupo wapi wanakotoa tiba kwa style hii? then tukianzia hapo tuendelee na kuhoji mboja tiba wanakupa tofauti?
simtetei kwa sababu simjui hanijui......issue kuhukumu tungejua alipo kwanza lets say yupo Aga khan hapo tutaanza kuhoji kweli ? Aga khan?
MkuuKukosa kiungo sio jambo rahisi, hadi ukubaliane na hali
Mamndenyi inaonekna wewe umetoka Mamndenyi juzi juzi na ushamba wa mamndenyi bado unao. Unatakiwa kuelewa somo kabla hujabisha! Na njia nzuri ni kuuliza. Tatizo sio hicho ''kidude'' ambacho kwa jina la kitibabu kinaitwa canulla kuwa hapo mkononi. Tatizo ni kimegeukia chini. Yaani ule uwazi wa kuingiza dawa yenye maji umekuwa kwa juu na sindano ikailekezwa chini kwenye vidole. Wakati inatakiwa ile sindano ichomekwe kwenye mshipa wa damu kuelekea juu! Kwanini wanaweka hivyo? Kwa sababu nia ni ku-pump dawa kwenye mishipa ili iingie kwenye mwili hivyo ni lazima ufuate mkondo wa damu unavyokwenda!Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
Cbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.Mkono wa wastara upo kifuani kwake au humjui wastaraa unabishaa tu hapa??
Kumbee hataa point tunayoongea huijuii!! Angalia jinsi mkono wa wastara ulivyokosewa kuweka hiyo cannula... ALAFU HIYOO MIKONO MINGINE NI NJIAA SAHIHI NA UELEKEO WA CANNULA INAVYOWEKWAAA..Cbish kwa7b hata nikiunga mkono hoja cfaidk na kitu boss.Angalia mkono miwil ya upande WA kulia,linganisha na mkon WA wastara,ndo maana nkasema hii yote mkono wa wastara?.
NB:Wastara naamfaham na hainafaida kumwelezea yeye n nan kwang au kwako.