hapo hapo wapi mama nyoosha maelezo[emoji3][emoji3]Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
hospital gani hiyo ya ajabu inayotoza mamilionibadala ya kuhoji anatibiwa wapi? binadamu mnaanza kumuhukumu......wastara sio nurse wala dr yawezekana hospital anayopata tiba ndio majanga so sisi kama watanzania tunapashwa kujua ili aende hospital nzuri zenye wahudumu wenye weledi.....wastara hawezi jiwekea cannula bana
Wewe hukumbuki alisema "...nilitetemeka kwa kuwa Rais ni mkali.."huyu dada kama ni kweli anamtapeli mpaka rais basi aache maramoja
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Dokta napita
Sasa Rais kutapeliwa milioni 15 ni habari ndogo...? HahahaKwahiyo na hii nayo ni habàri ya kujadili?? Viwanda bado sana
Chozi la mwanamke linanguvu zaid ya nguvu ya buku[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kimbia kabisa manake si kwa mambo haya ya wastara, wastara jiandae kurudisha hela ya mkulu
Kwahiyo amefuta???! Basi keshajua amedakwa..., hahahaKilichomuumbua ni canula kuelekea chini vidoleni baada ya kuelekea juu kwenye mabega,na La kuifuta post haraka baada ya kuona kaumbuka,
Unakijua ulichokiandika???Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.
Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?
Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
wanaompinda ndio wenye huruma bado kijana na fenye anazo !Haji hulumii Na mguu ule watu wanampinda tu. Wabongo makauzuu.
Haji hulumii Na mguu ule watu wanampinda tu. Wabongo makauzuu.
Aisee Canulla haijawahi kumuacha mtu salama, ni zaidi ya expansion jointmwenyewe kapiga picha ili muangalie sura ya huruma nyinyi mnakimbilia kwenye canulla[emoji54][emoji54][emoji54]
Amepata jina jipya la kuchezea movie yake mpya ya jinsi alivopiga noti mpaka hizo sijui KANULA.watu wamemchoka eti wanamuita Mama Cannula
Jamani wewe haki nmechekaaaSafi sana Wastara, hiyo ndiyo maana halisi ya kuwa muigizaji, umeweza kuuvaa uhusika vilivyo, umetawala jukwaa vema sana. (kumpiga hadi namba one milioni kumi sio mchezo)
Tatizo lenu bongo movie huwa katika umaliziaji wa filamu zenu, movie itaanza vema kabisa, wahusika, location, sound, ila inapokuja katika muendelezo wa story ndipo tatizo huja.
Sasa wewe ulishindwa kitu gani kumalizia kipande kilichobakia? Kwa milioni 43 ulitakiwa kufumba macho tu ili milioni tano ziishe movie iishe kwa mafanikio.
Msiwe wabahili, Uandike wewe scripts, u-direct wewe, uwe main character wewe, upambe wewe, location manager wewe puuh! Lazima Canulla uiweke juu chini!
Badilikeni na hakika mtauza tu hadi kwa mheshimiwa rais na mkewe tena zaidi ya milioni kumi. (ila dada noma, umempiga hadi mkulu? Pamoja na mikwara yote ile kwa taifa! [emoji16][emoji16][emoji16])
Ukiwa genius unamtapeli hata Arsene WengerYanii me bado sipati jibuu... Amemtapeli mpaka rais