Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

badala ya kuhoji anatibiwa wapi? binadamu mnaanza kumuhukumu......wastara sio nurse wala dr yawezekana hospital anayopata tiba ndio majanga so sisi kama watanzania tunapashwa kujua ili aende hospital nzuri zenye wahudumu wenye weledi.....wastara hawezi jiwekea cannula bana
hospital gani hiyo ya ajabu inayotoza mamilioni
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
Unakijua ulichokiandika???
So ukiwa unauguza ndio unatafuta Mshipa ?!
Ngoja Nikupe Shule Kidogo

Phlebotomy Inafanyika Kufuata Direction Ya Damu!
Huyo hapo kafanya Cannulation! That means kuna Dawa Ameweka Ziingie Kwenye Mshipa! Sasa Hizo Dawa Lazima Ziingie Kwenye Moyo Na Kuwa Distributed Via Arteries Kwenye Systemic Circulation! Then Kwenye GFR ambapo Tunategemea Bioavailability iwe Kubwa Kwa Sababu Tume Ikimbia 1st Pass Effect Kwenye Liver (Detoxification)

Ngoja Niishie Hapa Mkuuu Nitazid Kukuchanganya Hayo Mambo Ya Semi 1.
 
Safi sana Wastara, hiyo ndiyo maana halisi ya kuwa muigizaji, umeweza kuuvaa uhusika vilivyo, umetawala jukwaa vema sana. (kumpiga hadi namba one milioni kumi sio mchezo)

Tatizo lenu bongo movie huwa katika umaliziaji wa filamu zenu, movie itaanza vema kabisa, wahusika, location, sound, ila inapokuja katika muendelezo wa story ndipo tatizo huja.

Sasa wewe ulishindwa kitu gani kumalizia kipande kilichobakia? Kwa milioni 43 ulitakiwa kufumba macho tu ili milioni tano ziishe movie iishe kwa mafanikio.

Msiwe wabahili, Uandike wewe scripts, u-direct wewe, uwe main character wewe, upambe wewe, location manager wewe puuh! Lazima Canulla uiweke juu chini!

Badilikeni na hakika mtauza tu hadi kwa mheshimiwa rais na mkewe tena zaidi ya milioni kumi. (ila dada noma, umempiga hadi mkulu? Pamoja na mikwara yote ile kwa taifa! [emoji16][emoji16][emoji16])
Jamani wewe haki nmechekaaa
 
Back
Top Bottom