Ni kweli watu wa Dar wanaongoza kwa roho mbaya na fitina kuliko mikoa mingine Tanzania?

Ni kweli watu wa Dar wanaongoza kwa roho mbaya na fitina kuliko mikoa mingine Tanzania?

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
222
Reaction score
517
Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam.

Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu

1741911774546.jpg

Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na hatia, epuka kuwa na fitina kwa watu
 
Back
Top Bottom