Ni kweli watu wenye vichwa vidogo huwa hawana akili ?

Wale ni wajinga tu kwa ujinga wa kurithi toka kwa wajomba zao. Rejea boko wanazotoa hata wale wenye vichwa vikubwa kwa mfano the big lady who started this war.
 
Kabisa inaitwa Brain-to-body ratio kuna correlation ya size ya uwiano wa ubongo na mwili kwenye kupima akili.

mara nyingi mtu mwenye kichwa kidogo kuliko mwili huwa anakuwa hana cognitive abilities za kutosha au mzito wa kuelewa... Ndio maana karibia matahira wote wana vichwa vidogo vinavyofanana
Microcephaly...
 
Hakika.
 
Back
Top Bottom