Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mabwaku, kucrushiana tena?

Mi napoteza mawazo ya mkopo wa bank hapa wala sina crush humu..!! ๐Ÿ˜น
Mabwaku, ndo mdudu gani huyo w fala
 
TANGAZO TANGAZO
VIjana wa kitanzania wenye umri kuanzia 18 Hadi 27 Kuna fursa zenu huku UGERMAN.
1.Nursing (Pflege) 800โ‚ฌ
2.Au-Par (Baby Sister) 500โ‚ฌ
3.volunteer (Freiwillige)1200โ‚ฌ
4.werehous Job .1300โ‚ฌ
5.free study (UNIVERSITY)
NB: Required only German language
โˆ†โˆ† KAWE MASAI KUNA CENTER YA GERMAN LANGUAGE โˆ†โˆ†
NAMBA ZAO NI 0785122960
 

Attachments

  • IMG-20260504-WA0002.jpg
    179 KB · Views: 12
Lafudhi ya mlio wa fedha ikiwa inatoka kwenye ATM au ikiwa inahesabiwa kwenye zile mashine.
 
Lafudhi mbovu ni za watu wakanda ya ziwa na pwani , kanda ya ziwa utasikia nilirara , nilikura , chakura .

Lafudhi za watu wa pwani , naenda kupiga kula , nitakulalua , ๐Ÿšฎ

Lafudhi ninazo zielewa ni za watu wa kaskazini tu toa wairaq
 
Ungeweka na sampuli za audio za kila kabila.

Baada ya hapo wote tutakubaliana kwamba WADADA WA KIDIGO wameshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ