Ni lazima Mikel Arteta atimuliwe ili Arsenal isishuke daraja

Ni lazima Mikel Arteta atimuliwe ili Arsenal isishuke daraja

Huu ndio ushauri ninaoupeleka kwa Bodi ya wakurugenzi ya Arsenal, Washabiki na wapenzi wao.

Arteta hana uwezo wowote wa kufundisha timu kubwa kama Arsenal, hana kitu na wala uwezo wake hauna tofauti na Kuku kishingo, bila kumuondosha huyu kocha Arsenal itashuka daraja, kama mnabisha subirini.
Wamepigwa na leo tena
 
na haya matimu yaliyo chini ya aseno kipoint na yenyewe hayashindi, ilitakiwa yawe yanapata ushindi ili aseno afike mpk nafasi ya 19
Game inayofuata anapigwa goli 5 , ataporomoka tu , ni lazima ashuke daraja
 
Back
Top Bottom