Ni lazima Mikel Arteta atimuliwe ili Arsenal isishuke daraja

Tulivyokwambia hujui mpira hukuelewa ila utajifunza kutolopoka siku nyingine.
 
Huu ndio ushauri ninaoupeleka kwa Bodi ya wakurugenzi ya Arsenal, Washabiki na wapenzi wao.

Arteta hana uwezo wowote wa kufundisha timu kubwa kama Arsenal, hana kitu na wala uwezo wake hauna tofauti na Kuku kishingo, bila kumuondosha huyu kocha Arsenal itashuka daraja, kama mnabisha subirini.
Sawa tunakusubiri[emoji23]
 
Tulivyokwambia hujui mpira hukuelewa ila utajifunza kutolopoka siku nyingine.
Kuna watu wa kusikiliza kwenye mpira ila sio huyu mleta mada. Hii JF kila mtu ana sekta yake ya kutoa maoni na kuchambua.
 
Huu ndio ushauri ninaoupeleka kwa Bodi ya wakurugenzi ya Arsenal, Washabiki na wapenzi wao.

Arteta hana uwezo wowote wa kufundisha timu kubwa kama Arsenal, hana kitu na wala uwezo wake hauna tofauti na Kuku kishingo, bila kumuondosha huyu kocha Arsenal itashuka daraja, kama mnabisha subirini.
Hebu rudia tena
 
Arsenal anaweza kuwa bingwa iwe kinyume na ulichoandika.
 
Back
Top Bottom