Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

Mkuuu umewastukia!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ndo umezimia,kuna sehemu nimesema nchi nyingine,au magufuli ni rais was nchi nyingine? Elewa hoja ndugu,acha kukimbilia kupinga
Umeandika wakati umezimia au?,kwahiyo hata inchi nyengine wakivaa hayo magwanda wanawakilsha,jkt,magereza na polisi?
 
Hatakiwi kuvaa sare za kijeshi coz he is a civilian leader and not a military leader , hiyo ya amiri jeshi mkuu inaingia tu kama subtitle but main title Ni civilian leader
 
Kuna siku atampiga mtu risasi. Anapenda sana mabavu
 
Cheo kimempata mshamba
 
Mshaurini aache ushamba. Ajifunze kwa waliomtangulia. natamani mwaka 2025 uje haraka kabla Tanzania haijawa historia.
 
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]🤙🤙
 
Mimi napenda avae,na isiwe chukuchuku...aongezee na nyota na medali zote za kijeshi..ikiwezekana akisimama juu ya lile gari la wazi awe na RPG pembeni.
 
Duuh kweli wewe ndo unawashwa vibaya Bora hata wenzako!!

Ulishajiuliza Ni lini utavaa nguo za Watoto wako wa kike kuunga jitahada za kuonyesha wewe Ni baba Yao?

Daah kila kukicha idadi ya watu wasio na hoja Imara mtaani inazid kupungua.. huyu nae ndo tushampoteza hivyo hawezi kurudi katika Hali yake ya usawa kwa akili hii.
 
Ipo hivi JPM anapo vaa vazi la JW siyo kwamba analipendelea sana hilo jeshi na vikosi vingine kavibeza, hapana,.
Kwanza mkumbuke kwamba tunajeshi moja tu nalo ni Jeshi la Wananchi was Tanzania(JWTZ) polisi, magereza, uhamiaji hivyo ni vikosi vya ulinzi na usalama, siyo jeshi.
Aya tuje sasa kwa nini Mzee Baba anavaa sana kombati za JW, kwa sababu yeye ni Amiri jeshi mkuu, na Jeshi senior ni JWTZ then vinafuata vikosi vya ulinzi.
 
Unapobanwa na mharo ni bora ukimbie chooni fasta usije ukajiharishia..

Fool

Fool kwa nini, kwa kuuliza civilian ni nini?

Benjamin Mkapa amekiri, Waafrika hatujazoea "maswali ya kushambulia" ! Lazima uwake, utoe mapovu ukiulizwa kitu halafu ukagonga ukuta kwenye kufikiria jibu... Aliwaongelea wengi sana kwa ukweli ule
 

Bwashee naona umekua prophet

Unaongelea matukio ambayo hayajatokea with 100% certainty!

Ni haki yako lakini,bwaga maoni bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…