Tunachosema ni kwamba watanzania walimuelewa JPM.Kwamba kumbe yale yote aliyowafanyia ndicho kilikuwa kipaumbele cha walio wengi.Wao Katiba mpya na maandamano siyo kipaumbele chao kwa sasa.
Wanaoendeleza vita na Hayati JPM ni wanachadema....
Kauli za usiwe kama Magu blah blah zina maanisha hamjamalizana nae...
Uzuri jamaa kapata communio ya mwisho, kaungama... kwa imani ya katoliki yuko heaven muda huu
Wanaomlaani wanapoteza energy zao bure...
Heaven, thubutu zako. Mungu mwenyewe kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika.
Heaven, thubutu zako. Mungu mwenyewe kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika.
Tanzania hii! Mvuto wa biashara upo. Waganga na wachawi kibao. Wachawi wa Gamboshi badala ya kufanya vitu vyao sirini walitoa tangazo hadharani. Hakuna kuchukua fomu. Hakuna aliyechukua. Aliyedhamiria kuchukua aliishafukuzwa chamani.Mbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.
Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.
Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Unabishana na imani ya katoliki...
Yule mwizi alisamehewa pale msalabani..
Toba kabla ya kufa ni clean death[emoji3]
Kadili ya ukatoliki...
Sasa haters hukumuni na mahakama zenu za twitter na smartphones...
Kikatoliki tunaamini yuko heaven.
Vipi nikupe namba za Lema umutafte umwambie unavyo chukia??Wanachoniuzi hawa jamaa akina lema,ni kupinga pinga mpk kwenye msiba wao wanapinga tu. Ndio nimeona upinzani wa nchi hii hauna maana.
Nimesikitikia Sana rafiki yangu Lissu jinsi amejishushia credit kwa msiba huu.Kamwambie huu upumbavu Lissu na Lema, wanakesha wakishangilia na kukejeli huu msiba, kwa hili hatutawasahau, Lissu labda asirudi Tz, ila akirudi atapata halali yake, na wala sio TISS au polisi watakaye deal naye, ni vijana tu mtaani watamtandika na chochote kisu, panga, bisibisi ili mradi iwe somo tu.
Hayo mabadiliko yako wapi?
System inaenda na makamu ili ikitokea mwingine anaendeleza....
No barakoa ... reli itafika Moro soon..
Ndege mpya zitanunuliwa na wajingajinga watakitwa kama kawa...
NEW CHORUS: Bora ya Magufuli
[emoji3][emoji3]
Call a spade a spade not a big spoonAlikuwa dhalimu na dictator, hivyo mjae uwanjani ama muamue kuzikwa naye kwenye kaburi moja, haiondoi ukweli huo fullstop.
Kamwambie huu upumbavu Lissu na Lema, wanakesha wakishangilia na kukejeli huu msiba, kwa hili hatutawasahau, Lissu labda asirudi Tz, ila akirudi atapata halali yake, na wala sio TISS au polisi watakaye deal naye, ni vijana tu mtaani watamtandika na chochote kisu, panga, bisibisi ili mradi iwe somo tu.
Hamna haja ya kuchukiana kiasi cha kuuana, njia nzuri ya kumuenzi Magufuli ni kuwa na maridhiano kama Taifa ili tudumishe upendo na amani kwaajili ya ustawi wa nchi yetu.Ujumbe umefika, wakirudi Tz sio TISS wala polisi watakao deal nao, ni vijana mtaani tu mwenye kisu, bisibisi au panga... chochote kile kitakuwa haki yao.
Ufanye maridhiano na nani? Lissu na nyumbxxxxx wake wachache ??? Mshenzi na vichaa aina ya Lissu si wakuwakaribisha karibu yako, dawa yake ipo njiani ....Hamna haja ya kuchukiana kiasi cha kuuana, njia nzuri ya kumuenzi Magufuli ni kuwa na maridhiano kama Taifa ili tudumishe upendo na amani kwaajili ya ustawi wa nchi yetu.
We utakuwa ticha wa msingiHakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Kama ni muumini wa dini yoyote basi hakuna jambo jema kama mapatano hebu angalia kwa Nelson Mandela alitoka gerezani lakini licha ya machungu alichagua kufanya maridhiano tusiende mbali hapo Zanzibar Maalim alikubali kuridhiana na unaona Wazanzibar wameshikamana si vyema kuhold visasi.Ufanye maridhiano na nani? Lissu na nyumbxxxxx wake wachache ??? Mshenzi na vichaa aina ya Lissu si wakuwakaribisha karibu yako, dawa yake ipo njiani ....
Kakimbia anakuambia wewe komaa kamanda πππVipi nikupe namba za Lema umutafte umwambie unavyo chukia??
Acha upumbavu!Kamwambie huu upumbavu Lissu na Lema, wanakesha wakishangilia na kukejeli huu msiba, kwa hili hatutawasahau, Lissu labda asirudi Tz, ila akirudi atapata halali yake, na wala sio TISS au polisi watakaye deal naye, ni vijana tu mtaani watamtandika na chochote kisu, panga, bisibisi ili mradi iwe somo tu.
Kitendo cha kuondoka dhalimu peke yake ni mabadiliko tosha, no matter what will happen later. Reli ifike Morogoro isifike is non of our business. Anunue ndege asisinunue i don't care, as long as barbarian is no more. Eti new chorus, kwa taarifa yako labda ingekuwa Mwigulu ndio angeweza kufikia ule ushenzi wa jiwe, ila huyu hata akiiga hawezi kupatia, na hata akiiga tutampa ukweli wake kama tulivyokuwa tunampa jiwe fullstop.
Alikuwa dhalimu, hilo la imani ya katoliki unajua ww.
She is one and the same as Magu...
Mkileta za kuleta mkito ni kawa...
Labda shida age ila hata waliopita mliwaita wauaji....
Ntashangaa kama huyu mama jina litamkosa....
Adui yenu kaondoka ila vita hamjamaliza...
Yani hata kivuli chake mnakiogopa...[emoji3][emoji3]
You did it very well mzee Magu (RIP)