Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

ahahahaa ciku ya kampeni ni clips zote za magu kwa kwenda mbele
 
Suala la kuongeza mishahara siyo hisani mzee ni la kisheria.mtu yeyote asiyefuata sharia hatufai aondoke. Unaniita popoma kwakuwa juju ulisemalo. Mtu apore ushindi kwenye masanduku ya kura kisha awe shujaa wa AFRICA? Kamfufue ukaweke ndani kwako
Amepora haki za watu wangapi?
 
JPM aongezewe muda wa kutawala au sio?
 
Mkuu wewe unaona mbali sana.Akili yako ni sawa na kina Polepole na Bashiru Kumi 🤣
 

Uza ubongo ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Dunia ina watu 7.8b, hiyo idadi ni nusu ya watu wote duniani. Kwakuwa ww ni mzee ndio unaweza kuambiwa uongo wa kishamba hivyo ukaamini. Fainali ya kombe la dunia yenyewe haina viewers wa hivyo, ndio waangalie msiba wa huyo peasant mshirikina?
 
Atabaki kwenye list ya madhalimu fullstop.
 
Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Endeleeni kuzima, mtazimika wote
 
Yes ukweli mtupu
 
Unabishana na imani ya katoliki...
Yule mwizi alisamehewa pale msalabani..

Toba kabla ya kufa ni clean death[emoji3]
Kadili ya ukatoliki...

Sasa haters hukumuni na mahakama zenu za twitter na smartphones...

Kikatoliki tunaamini yuko heaven.
Kikatoliki sawa, ki Mungu je!?
 
Ni lini Tundu Lissu ataachana na Magufuli?
 
Kama nakusikia unavyokandamiza! Pole na msiba!
 
Una wendawazimu si shaka
 
Nani alikudanga Magufuli alikuwa anapendwa? Angekuwa anapendwa angeiba kura? Nakuhakikishia angekuwa na uhakika wa kupata angalau asilimia 65 ya kura kwenye ule uchaguzi asingepora kura. Mahudhurio ya kwenye mazisha kamwe hayawezi kupimwa kama kipimo cha kukubalika wakati akiwa hai. Mbona hata majambazi yakiuawa watu wanajazana?
 
Angalau mama Samiah hatakuwa na akili za kijinga kujaribu kujiongezea muda wa kuwa madarakani baada ya muda wake kwisha.Kwa hiyo hata kama itakuwa utawala wa kufunga mikanda Lakini yenye kikomo!
 
What's your logic?

Mungu anaoaminiwa na wakatoliki ndio amehusisha sala ya toba ya mwisho (mpako mtakatifu) na hukumu ya Mungu wao.

Sina uhakika wa Mungu wako Budha ama yeyote anahusikaje na mafundisho yake..

Ila ukatoliki ni dini yenye uhusiano na Mungu wao.... kutofautisha ukatoliki na Mungu wao ukauliza Mungu je... hapo rudia tena swali labda ama Mungu yupi unayeulizia... wakatoliki wanamwamini Mungu Yahweh ...kwenye biblia yao na kwa tafsiri yao
Kikatoliki sawa, ki Mungu je!?
 
Mbona Lissu kila anapopata nafasi hapo KTN au anapoandika kwenye Magazeti ya Zimbabwe yeye mada yake kuu ni Magufuli tu? Kama CDM imeshaachana na Magufuli kwa nini makamu mwenyekiti wake naye asionyeshe hivyo?
 
Pole sana

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…