Mkunda hana historia ya kuwa na akili, ni chawa kama baba levelMgunda alisema vijana wetu ni wahalifu vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji. Tangia utekaji umeshamili nchini ni lini mkuu wa majeshi tena ya wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi kama kuna mwenye clips aziweke hapa. Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Anaitwa Jenerali Jacob Mkunda. Na siyo Mgunda.Mgunda alisema vijana wetu ni wahalifu vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji. Tangia utekaji umeshamili nchini ni lini mkuu wa majeshi tena ya wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi kama kuna mwenye clips aziweke hapa. Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kwani ujui no CDF MKUND#Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REFORMS
Kama unaamini JW hawakuhusika basi pole, wapo waliovishwa nguo za polisi, wengine za kiraia kushirikiana na hao kmkmWe are not safe in our own land!
Kama serikali inaweza hire international mercenaries kuja kushoot wananchi wake trust me hakuna JWTZ wala cha Usalama wa Taifa nchi ipo uchi hii.
Ni vizuri muwe mnajielimisha juu ya majukumu ya hivi vikosi vyenu vya ulinzi na mipaka yao badala ya kutanguliza hisia kwenye kuvijadili.Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REFORMS
Mkubwa hajambiUnaweza KUMKEMEA BOSS WAKO?
Kukemea mauaji na Utekaji haina mjadala kusema Sijui mkuu wa Majeshi anaweza kusema kama mtu binafsi pia kuiondoa ukuu wa JWTZ huyo ni mtu anaweza kukemea kama mtu baki sio CDF sasa mkuu wa Majeshi tena ya wananchi kama hawezi kukemea utekaji wa wananchi wake ana kazi gani anafanya?Ni vizuri muwe mnajielimisha juu ya majukumu ya hivi vikosi vyenu vya ulinzi na mipaka yao badala ya kutanguliza hisia kwenye kuvijadili.
Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REF
Unataka MKUNDA akemee utekaji?Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REFORMS
sio mtueleze kwanza jeshi lilosema litawalinda ni lipi? na mlitoa wapi taarifa hizo?Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.