Ni lini CDF Mkunda aliwahi kukemea Utekaji? Mwenye clip aiweka hapa Tuone

Ni lini CDF Mkunda aliwahi kukemea Utekaji? Mwenye clip aiweka hapa Tuone

Kazi ya JWTZ nini unajua uanzishwaji? JWTZ unajua kwa nini Jeshi lilipewa jina la Jeshi la wananchi sasa subiri chezeni na Jeshi muone kama hii haijawa Congo litameguka pande mbili jeshi wazalendo kweli ambalo ndo litakuwa jeshi la wananchi na mamluki wanatumiwa na wahuni kwa maslahi yao
Nyinyi vichwani mmejaza vinyesi tu ndiyo maana mnapigwa shaba,jwtz kazi yake ni kulinda mipaka,kuitwa la wananchi haimaanishi linaamuriwa na wananchi,cdf aliwaita wahalifu, halafu akaliagiza jeshi liandae gwaride zuri la uapisho
 
kwani maana ya jeshi la wananchi ni ipi? Na hao wananchi wanasikilizwa matakwa yao kwa njia ipi?

Tutafute suluhu ya tatizo, tusibagaze kila kitu.
Kasome katiba na sheria ya uanzishwaji wao, adui wa nchi hana jina anaweza kuwa kiongozi ndani ya nchi, au mtu mwingine yeyote..
 
Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.

Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.

Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REFORMS Wananchi wakikosa Imani na jeshi lao Nyerere akua Mjinga kubakiza jeshi kua la Wananchi Mkunda ulishidwa kutoa kauli kwamba wa sikilizeni wananchi hiyo ilitosha hiyo kauli tu
Alishafika bei kitambo! Tz hatuna serikali, jeshi lolote, bunge wala mahakama!
 
Vipi Butiku keshatoa neno?

Kwa Capt Tesha alikurupuka kujibu kwa wakati.

Hao wazee ni wanafiki sijajua watu huwa wanawapaje hizo sifa wasizostahili
Mzee mpuuzi sana huyu
 
Back
Top Bottom