mambo hayaendi hivyo, jeshi ni taasisi.maswali ya kipumbavu, lete wewe sms za kweli..! wanajeshi wako wanaishi uraiani kutwa wanazurura halafu unaliza ujinga..! wngine walishapita huko wakaacha jeshi, kitu gani raia wasikijue?
ilitakiwa iwe ****** kabisa eti alilinda wananchi kwa yale mauwaji alilinda nini askari wake walikuwa wameshika tu mitutu ila hawakupiga risasi hata moja.Anaitwa Jenerali Jacob Mkunda. Na siyo Mgunda.
Kiufupi nimegundua yeye na Lucas Mwashambwa, wanatofautiana majina tu na cheo.
Hakuna taasisi inabaki kuheshimiwa pale inashindwa kutekeleza majukumu mama ya kuanzishwa kwake! Jeshi la wananchi halijaanzishwa kwenda kulinda congo au darfur..mambo hayaendi hivyo, jeshi ni taasisi.
Huyu jamaa natafakali sana yeye kama General alishindwa kusema kwamba naomba muwasikilize wananchi wanataka nini mkae nao mezani yeye ndo akabariki mauaji kwa kuwaita vijana wahalifu huyu kweli anajua Maana Jeshi la wananchi Tanzania?ilitakiwa iwe ****** kabisa eti alilinda wananchi kwa yale mauwaji alilinda nini askari wake walikuwa wameshika tu mitutu ila hawakupiga risasi hata moja.
hilo ni too subjective.Hakuna taasisi inabaki kuheshimiwa pale inashindwa kutekeleza majukumu mama ya kuanzishwa kwake! Jeshi la wananchi halijaanzishwa kwenda kulinda congo au darfur..
..ok weka hivyo vichaka unajifichia, lkn ukweli ndio huo, hakuna jeshi la wananchi hapa! tuna watu wanavaa sare za jeshi kujinufaisha wao!hilo ni too subjective.
kwani maana ya jeshi la wananchi ni ipi? Na hao wananchi wanasikilizwa matakwa yao kwa njia ipi?..ok weka hivyo vichaka unajifichia, lkn ukweli ndio huo, hakuna jeshi la wananchi hapa! tuna watu wanavaa sare za jeshi kujinufaisha wao!
ili walinde raia walitakuwa kuchukua nchi sio?Kama jeshi linashidwa kulinda raia si hatari
Mkunda angeweza kusema naomba msikilize wananchi wanataka nini sio kusema wahalifu CDF akisema wahalifu alitoa kibali cha watu kufa huyu ndo wa kupeleka ICC kauli ndogo kama hiyo alishindwa kusema CDF kwamba naomba msikilize wananchi ilikua ndogo ya kujenga sio kuita watoto wa watu wahalifu wakati kuna Majingili yalisemwa na Polepole yeye alichukua hatua gani baada ya polepole kusema wale majangiliili walinde raia walitakuwa kuchukua nchi sio?
Mtu anae haribu miundombinu ya umma, mali za watu binafsi, na za umma anaitwaje? Mbona kauli ya CDF ilikuwa clear tu.Mkunda angeweza kusema naomba msikilize wananchi wanataka nini sio kusema wahalifu CDF akisema wahalifu alitoa kibali cha watu kufa huyu ndo wa kupeleka ICC kauli ndogo kama hiyo alishindwa kusema CDF kwamba naomba msikilize wananchi ilikua ndogo ya kujenga sio kuita watoto wa watu wahalifu wakati kuna Majingili yalisemwa na Polepole yeye alichukua hatua gani baada ya polepole kusema wale majangili
Wezi wa mali za Umma sio wahalifu Ripoti ya CAG kibao wahuni aliosema polepole sio wahalifu au neno wahalifu linabaugua watu yeye Mkunda alishindwa nini kusema Sikilizeni wananchi wanakata nini angepungikiwa nini kwa kauli hiyo USA uonagi fujo na mali za umma zikiaribiwa Come on kwa hiyo ndo akatoa kibali cha kuua watoto wa watu Siku zinakujaMtu anae haribu miundombinu ya umma, mali za watu binafsi, na za umma anaitwaje? Mbona kauli ya CDF ilikuwa clear tu.
Tujifunze kutofautisha, democracy na uhalifu, huko democracy inakotoka wala huwezi kuta watu wana andamana kwa kufanya fujo kwa watu wengine, kuharibu mali za wengine au za umma. Ila sisi ni kinyume chake.
Hilo la kuua watu ni jambo la pili, mimi nipo ktk uhalifu. Polepole muache na maneno yake.Wezi wa mali za Umma sio wahalifu Ripoti ya CAG kibao wahuni aliosema polepole sio wahalifu au neno wahalifu linabaugua watu yeye Mkunda alishindwa nini kusema Sikilizeni wananchi wanakata nini angepungikiwa nini kwa kauli hiyo USA uonagi fujo na mali za umma zikiaribiwa Come on kwa hiyo ndo akatoa kibali cha kuua watoto wa watu Siku zinakuja
CDF inatakiwa ajitafakari sana au hajui maana ya JWTZ yupo tuHilo la kuua watu ni jambo la pili, mimi nipo ktk uhalifu. Polepole muache na maneno yake.
Wanao ripotiwa na CAG kwa ubadhirifu ni wahalifu period. Lakini halina mahusiano na jeshi ki-context. Uchaguzi ni swala la ki-usalama, na hata walio changia CDF kutoka hadharani ni haohao walio panga kuandamana kwa matendo/kauli zao, na kuna wakati walisema wazi hawamsikilizi yoyote mpaka CD mwenyewe atoke.
Kilichotokea kina-umiza, hakipendezi, wakiweza watoe taarifa za kina itasaidia.
Hiyo siyo kazi ya cdf wala jwtz,bali wizara ya mambo ya ndaniMkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REFORMS Wananchi wakikosa Imani na jeshi lao Nyerere akua Mjinga kubakiza jeshi kua la Wananchi Mkunda ulishidwa kutoa kauli kwamba wa sikilizeni wananchi hiyo ilitosha hiyo kauli tu
Kazi ya JWTZ nini unajua uanzishwaji? JWTZ unajua kwa nini Jeshi lilipewa jina la Jeshi la wananchi sasa subiri chezeni na Jeshi muone kama hii haijawa Congo litameguka pande mbili jeshi wazalendo kweli ambalo ndo litakuwa jeshi la wananchi na mamluki wanatumiwa na wahuni kwa maslahi yaoHiyo siyo kazi ya cdf wala jwtz,bali wizara ya mambo ya ndani