Utamlaumu bure tuKukemea mauaji na Utekaji haina mjadala kusema Sijui mkuu wa Majeshi anaweza kusema kama mtu binafsi pia kuiondoa ukuu wa JWTZ huyo ni mtu anaweza kukemea kama mtu baki sio CDF sasa mkuu wa Majeshi tena ya wananchi kama hawezi kukemea utekaji wa wananchi wake ana kazi gani anafanya?
Hata ile kauli aliyootoa juzi kati aliropoka tu