Utamlaumu bure tuKukemea mauaji na Utekaji haina mjadala kusema Sijui mkuu wa Majeshi anaweza kusema kama mtu binafsi pia kuiondoa ukuu wa JWTZ huyo ni mtu anaweza kukemea kama mtu baki sio CDF sasa mkuu wa Majeshi tena ya wananchi kama hawezi kukemea utekaji wa wananchi wake ana kazi gani anafanya?
Uwe na adabu kwa CDF.Anaitwa Jenerali Jacob Mkunda. Na siyo Mgunda.
Kiufupi nimegundua yeye na Lucas Mwashambwa, wanatofautiana majina tu na cheo.
Bora angekaa kimyaNi vizuri muwe mnajielimisha juu ya majukumu ya hivi vikosi vyenu vya ulinzi na mipaka yao badala ya kutanguliza hisia kwenye kuvijadili.
Heshima hailazimishwi, wewe inaonekana ulikuwa abused ulipokuwa mtoto maana maisha yako ni ya kujipendekeza na kulamba makalio tuu, tafuta psychologist akusaidieUwe na adabu kwa CDF.
Aliwahi kujitokeza na kusema nchi hii ina viongozi ambao si raia. Ila akapuuzwa akaamua kupiga kimya. Kwa taarifa yako CDF mwenyewe analiogopa kundi la watu wasiojulikana.Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REFORMS
Kuna pressure ilisababisha aropoke hovyo kama mlevi.Bora angekaa kimya
misinformation. Mnajua majeshi yalivyo? Una thibitisha vipi hizo sms? Tunacheza sana usalama wa hii nchiNo wonder alitoa Tamko akiwa wanasoma Message
View attachment 3497698View attachment 3497699View attachment 3497700
Usalama wa nchi unachezewa na wakuu na viongozimisinformation. Mnajua majeshi yalivyo? Una thibitisha vipi hizo sms? Tunacheza sana usalama wa hii nchi
😢😢😢😢Naandika huku naogopa sana Afande JJ Mkunda, amekosa uzalendo ametii tumbo lake,
We were trained from TMA, to be professional killer not to kill our Patriot brethrens but our enemy.
Wale waliopigwa risasi za moto ni Watanzania wenzetu, 😭😭sio Wacongo Wala wa Burundi,au wa Kenya, na hawakua na silaha. Ameruhusu/amekubali Polisi force/ service pamoja na baadhi ya Amphibian wa marine kuua Watanzania wenzetu.
Halitokua Jeshi la Ulinzi la wananchi tena
Mkunda ndio aliyetoa AZIMIO la MAUAJI baada ya kuita Waandamanaji ni WAHALIFU.Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REFORMS
unachosema ni sahihi watoto wa watu unawaita wahalifu wengine wakiwa nyumbani wanamiminiwa risasi?Mkunda ndio aliyetoa AZIMIO la MAUAJI baada ya kuita Waandamanaji ni WAHALIFU.
Aliposema tu, wakazima mitandao wakaanza kuua watu ovyoo.
Amefanya jeshi limekuwa ovyo sana.
..amphibians wa wapi..? hao walikuwa wavuta bangi wahalifu sugu!Naandika huku naogopa sana Afande JJ Mkunda, amekosa uzalendo ametii tumbo lake,
We were trained from TMA, to be professional killer not to kill our Patriot brethrens but our enemy.
Wale waliopigwa risasi za moto ni Watanzania wenzetu, 😭😭sio Wacongo Wala wa Burundi,au wa Kenya, na hawakua na silaha. Ameruhusu/amekubali Polisi force/ service pamoja na baadhi ya Amphibian wa marine kuua Watanzania wenzetu.
Halitokua Jeshi la Ulinzi la wananchi tena
maswali ya kipumbavu, lete wewe sms za kweli..! wanajeshi wako wanaishi uraiani kutwa wanazurura halafu unaliza ujinga..! wngine walishapita huko wakaacha jeshi, kitu gani raia wasikijue?misinformation. Mnajua majeshi yalivyo? Una thibitisha vipi hizo sms? Tunacheza sana usalama wa hii nchi
Ukiniuliza wa wapi nitakushanga labda kama wewe ni R.A Ameir Hassan, vijana wako walikuwepo kwenye hiyo task tena ni Hawa amateur sea man wa juzi...amphibians wa wapi..? hao walikuwa wavuta bangi wahalifu sugu!
Haya maandamano yametufumbua macho kuona mengi sana. Sasa tumegundua hata jeshi ambalo angalao tulikua yuna matumaini nalo, nalo halipo upande wa wananchi. Next time tutajitetea sisi wenyewe. Mkazo uwekwe kwenye kuzijua dark web za kupata vyuma vya kutosha ili episode ijayo tusiende barabarani mikono mitupuMkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.
Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye clips aziweke hapa.
Tunataka kujua hili jeshi kweli bado la wananchi au kimekua kikundi cha kulinda watu flani tujue kama ikiwezekana wabadilishe jina kutoka jeshi la wananchi na kua jeshi la kikundi flani tujue.
Kama mkuu wa Majeshi hajawahi kukemea utekaji kibali cha kuita vijana wetu wahalifu alikitoa wapi kiufupi Jeshi nalo linaitaji REFORMS
Uko sahihi ndugu, hilo jina haliwafai tena..wabadilishe hilo jina!Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji.