Ni lini CDF Mkunda aliwahi kukemea Utekaji? Mwenye clip aiweka hapa Tuone

Mimi nikikuwa nawachora tu wanaowashangilia na kudandia yale magari yao huko mtaani

Sijui nyie ndio wanaume sijui hili ndio jeshi letu la kizalendo

Pathetic!!!
 
maswali ya kipumbavu, lete wewe sms za kweli..! wanajeshi wako wanaishi uraiani kutwa wanazurura halafu unaliza ujinga..! wngine walishapita huko wakaacha jeshi, kitu gani raia wasikijue?
mambo hayaendi hivyo, jeshi ni taasisi.
 
ujinga mtupu hawajajua nayo imetekwa kikundi cha wahuni
Mimi nikikuwa nawachora tu wanaowashangilia na kudandia yale magari yao huko mtaani

Sijui nyie ndio wanaume sijui hili ndio jeshi letu la kizalendo

Pathetic!!!
 
ujinga mtupu hawajajua nayo imetekwa kikundi cha wahuni
Mimi nikikuwa nawachora tu wanaowashangilia na kudandia yale magari yao huko mtaani

Sijui nyie ndio wanaume sijui hili ndio jeshi letu la kizalendo

Pathetic!!!
 
ilitakiwa iwe ****** kabisa eti alilinda wananchi kwa yale mauwaji alilinda nini askari wake walikuwa wameshika tu mitutu ila hawakupiga risasi hata moja.
Huyu jamaa natafakali sana yeye kama General alishindwa kusema kwamba naomba muwasikilize wananchi wanataka nini mkae nao mezani yeye ndo akabariki mauaji kwa kuwaita vijana wahalifu huyu kweli anajua Maana Jeshi la wananchi Tanzania?
 
Hakuna taasisi inabaki kuheshimiwa pale inashindwa kutekeleza majukumu mama ya kuanzishwa kwake! Jeshi la wananchi halijaanzishwa kwenda kulinda congo au darfur..
hilo ni too subjective.
 
..ok weka hivyo vichaka unajifichia, lkn ukweli ndio huo, hakuna jeshi la wananchi hapa! tuna watu wanavaa sare za jeshi kujinufaisha wao!
kwani maana ya jeshi la wananchi ni ipi? Na hao wananchi wanasikilizwa matakwa yao kwa njia ipi?

Tutafute suluhu ya tatizo, tusibagaze kila kitu.
 
Hakuna taasisi inabaki kuheshimiwa pale inashindwa kutekeleza majukumu mama ya kuanzishwa kwake! Jeshi la wananchi halijaanzishwa kwenda kulinda congo au darfur..
Polepole alisema wahuni wako kila sehemu naanza kuamini
 
ili walinde raia walitakuwa kuchukua nchi sio?
Mkunda angeweza kusema naomba msikilize wananchi wanataka nini sio kusema wahalifu CDF akisema wahalifu alitoa kibali cha watu kufa huyu ndo wa kupeleka ICC kauli ndogo kama hiyo alishindwa kusema CDF kwamba naomba msikilize wananchi ilikua ndogo ya kujenga sio kuita watoto wa watu wahalifu wakati kuna Majingili yalisemwa na Polepole yeye alichukua hatua gani baada ya polepole kusema wale majangili
 
Mtu anae haribu miundombinu ya umma, mali za watu binafsi, na za umma anaitwaje? Mbona kauli ya CDF ilikuwa clear tu.

Tujifunze kutofautisha, democracy na uhalifu, huko democracy inakotoka wala huwezi kuta watu wana andamana kwa kufanya fujo kwa watu wengine, kuharibu mali za wengine au za umma. Ila sisi ni kinyume chake.
 
Wezi wa mali za Umma sio wahalifu Ripoti ya CAG kibao wahuni aliosema polepole sio wahalifu au neno wahalifu linabaugua watu yeye Mkunda alishindwa nini kusema Sikilizeni wananchi wanakata nini angepungikiwa nini kwa kauli hiyo USA uonagi fujo na mali za umma zikiaribiwa Come on kwa hiyo ndo akatoa kibali cha kuua watoto wa watu Siku zinakuja
 
Hilo la kuua watu ni jambo la pili, mimi nipo ktk uhalifu. Polepole muache na maneno yake.

Wanao ripotiwa na CAG kwa ubadhirifu ni wahalifu period. Lakini halina mahusiano na jeshi ki-context. Uchaguzi ni swala la ki-usalama, na hata walio changia CDF kutoka hadharani ni haohao walio panga kuandamana kwa matendo/kauli zao, na kuna wakati walisema wazi hawamsikilizi yoyote mpaka CD mwenyewe atoke.

Kilichotokea kina-umiza, hakipendezi, wakiweza watoe taarifa za kina itasaidia.
 
CDF inatakiwa ajitafakari sana au hajui maana ya JWTZ yupo tu
 
Hiyo siyo kazi ya cdf wala jwtz,bali wizara ya mambo ya ndani
 
Hiyo siyo kazi ya cdf wala jwtz,bali wizara ya mambo ya ndani
Kazi ya JWTZ nini unajua uanzishwaji? JWTZ unajua kwa nini Jeshi lilipewa jina la Jeshi la wananchi sasa subiri chezeni na Jeshi muone kama hii haijawa Congo litameguka pande mbili jeshi wazalendo kweli ambalo ndo litakuwa jeshi la wananchi na mamluki wanatumiwa na wahuni kwa maslahi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…