Ni lini Heche atajiuzulu kupisha uchunguzi?

Tanganyikani

Member
Joined
Feb 27, 2026
Posts
15
Reaction score
15
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
 
Leta ushahidi ofisi ya Katibu Mkuu.
 
Rudisha kadi nijiunge Mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…