Mpaka utakapoolewa.Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.
Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?