Ni lini Heche atajiuzulu kupisha uchunguzi?

Ni lini Heche atajiuzulu kupisha uchunguzi?

Kama umechukua pesa ya Abdul na hujaanza kuila irudishe!
 
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
Hakuna mwamba kama HECHE nazani ww ni mamluki tu humu
 
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
Huwa mnalipwa au mnajitolea kuwa wajinga ?
 
Ajiuzulu kwanza Samia, apishe uchunguzi. Unadhani kati ya Heche na Samia nani akijiuzulu Nchi itapiga hatua kimaendeleo?
 
Wanaitukana CCM wakati wanalea wapigaji.
 
MTAJI MKUBWA WA CCM NI.
Mapumbavu.
Matahila.
Marofa.
Mqchizi.
Wajinga.
Wehu kama Wewe
 
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
Hao nyumbu wanachojua ni kutuhumu wenzao wao wanajionaga wako sawa hata wakiiba
 
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
Acha ujinga Babu. Changia tone tone chama kimeporwa ruzuku na msajili
 
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
Acha urongo, ajiuzuru kwa tuhuma zipi ?hizi za mchongo, waambie wajiuzuru wale wahusika wakuu wa MO29, kama pesa alipewa yeye binafsi kuna kosa gani sababu pesa rasmi na ya chama ina akaunti zake na msimamizi mkuuni ofisi ya katibu mkuu wa chama na si ofisi ya makamu wa mwenyekiti.
 
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?


Siku ambayo Tanzania Bara tutapata viongozi wa kutupa maendeleo kama walivyo viongozi wa zanzibar

Hiyo siku ikifika ndio Heche atakaa pembeni kupisha uchunguzi
 

Attachments

  • Screenshot_20260724_123543.jpg
    Screenshot_20260724_123543.jpg
    200.3 KB · Views: 10
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
Wewe ukishajiuzulu atafuatia yeye
 
Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.

Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
Wewe msenge kweli Rais wako hajajiudhuru mpaka sasa hivi kupisha uchunguzi wa Mauaji ya October 29, sasa unataka Heche ajiudhuru Kwa lipi,??

Watanzania bana ccm Kila Leo inaiba Pesa za Kodi zetu ila Kwa sababu mnapewa posho mko kimya.
 
Majibu ya Kisheria kwa Ndugu Tanganyikani: Heche Atajiuzulu kwa Prima Facie Ipi au Ni Njaa za Kijiweni Zinawasumbua?

Ndugu Tanganyikani na genge lako la "Makamanda wa mchongo" mnaoshinda mitandaoni mkitetemeka kama kuku walionyeshewa na mvua kwa kila uzushi mnaousoma; salama sana.

Nimesoma kwa masikitiko makubwa bandiko lako linalohoji ni lini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), Mheshimiwa John Heche, atajiuzulu kupisha uchunguzi wa kimahakama ya kahawa mliyofungua huko Handeni. Ili kukuponya na ugonjwa huu wa upofu wa kisheria na kisiasa, naomba nikushushie dozi hii ya hoja kavukavu ili ukawafunge midomo hao mabwana zako mnaoshinda nao vijiweni:

1. Persona Non Grata Kisheria: Ofisi ya Heche na Suala la Fedha

Kisheria na Kikatiba, unapoanzisha madai ya mtu kujiuzulu, lazima uonyeshe prima facie (ushahidi wa awali wa msingi) unaomunganisha mtuhumiwa na kosa husika. Katika mfumo wa kisheria wa CHADEMA, Makamu Mwenyekiti hana mamlaka yoyote ya kiutendaji ya kifedha (not an Accounting Officer). Msimamizi mkuu wa mapato, matumizi, na mali zote za chama kisheria ni Katibu Mkuu, Mhe. John Mnyika.
Kumtaka Heche ajiuzulu kwa madai ya ubadhilifu wa fedha za Handeni ni sawa na kwenda mahakamani kumshtaki Waziri wa Mambo ya Nje kwa makosa ya ukusanyaji kodi wa TRA. Huku ni kukosa uelewa wa kimsingi wa sheria (sheer legal ignorance) na kujivua nguo hadharani.

2. Udhaifu wa Ushahidi na Kanuni ya Hear-Say (Maneno ya Kusikia)

Popote duniani, kiongozi hawezi kuwajibika kwa sababu tu ya "waraka wa mtu mwenye njaa" au "video ya clip ya sekunde 30" iliyorekodiwa kwenye korido za baa. Madai yenu yote yanaangukia kwenye kundi la hearsay evidence (ushahidi wa kusikia)—ambao hauna mashiko mbele ya vikao halali vya chama wala mahakama yoyote huru.

Uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Tanga ulishatoa tamko rasmi na kuuzika huo uzushi, ukifafanua kuwa kile kilikuwa ni kikundi cha mamluki waliotengeneza sarakasi ili kukwamisha harakati za chama. Kama ripoti rasmi ya ukaguzi wa ndani (Internal Audit Report) haijamtia hatiani Heche, kelele zenu za mitandaoni ni sawa na mbwa anayeuzunguka mti akibwekea ndege aliyeko angani.

3. Agenda ya Kupikwa Kuhama Kwenye Reli

Mh. John Heche hivi sasa yuko busy mikoani akisimamia Operesheni za Katiba Mpya na kupigania haki za viongozi wenu wanaosumbuliwa na kesi za kusingiziwa. Huu mtego wenu wa kitoto wa kutaka ajiuzulu umelenga kumtoa kwenye reli ili kuhamisha mjadala wa kitaifa. Hamuwezi kutupangia agenda kwa kutumia matamko ya kununuliwa kwa bei ya doti ya khanga.


NB: Ndugu Tanganyikani, hebu tuvue vinyago hapa. Inaonekana dhahiri wewe si mwanachama wa CHADEMA kama unavyojinasibu kwa unafiki hapa jukwaani. Wewe ni miongoni mwa wale "Machawa" wa kijani (CCM) msio na aibu, mnaojivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu. Unajiziba kwenye mgongo wa kashfa za uongo za kutengeneza mitandaoni ili kumchafua Makamu Mwenyekiti, Mheshimiwa John Heche. Kamanda gani goli la kwanza tu la propaganda za kijinga unakuwa wa kwanza kulia na kuweweseka mitaani? Nenda kachukue posho yako hapo lumumba, huku CHADEMA hakuna nafasi ya wapika majungu!

OUR MOTTO: THE WHOLE PLAN IS A NEW CONSTITUTION AND ELECTORAL REFORM! ✊🔥

​

You nailed it all.
 
Back
Top Bottom