Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Huyo JKT miaka miwili then mtaa miaka mitatu atakuwa na 29 ko huenda akapata kama unaconnectionJuzi na mdogo wangu nime msent jkt ana 24yrs ana bachelor ya business ni 'KE' vipi asilimia ya kuajiriwa TPDF ukoje kwake asee.Maana najipa hope umri wake na elimu yake nikiamini anaweza kutoboa iwe isiwe.
Je wakuu wangu kwa muonavyo hii imekaaje.
Ila si wapo wanao pata nafasi kakaHuyo JKT miaka miwili then mtaa miaka mitatu atakuwa na 29 ko huenda akapata kama unaconnection
WapoIla si wapo wanao pata nafasi kaka
sijaelewa hapa mkuu. Kwamba sifa ya kutokea jkt wanaitoa au?karibu watatoa walikuwa wanasubiri azimio la kigezo cha jkt kitolewe kwanza watoto wao wapate upenyo
Au wanataka wasogeze miaka ya aliyemaliza jkt, ili wachukuliwe hata waliomaliza kitambo? 🙄sijaelewa hapa mkuu. Kwamba sifa ya kutokea jkt wanaitoa au?
Kigezo cha JKT hakijawahi kuwa kizuizi cha kuingiza watoto wao mzee. Ndio maana huwa wanatengeneza zile bogi za proffessional ambapo mara nyingi wanaenda watoto wa wakuu ambao hawajapita jakata.karibu watatoa walikuwa wanasubiri azimio la kigezo cha jkt kitolewe kwanza watoto wao wapate upenyo
Azimio limepitishwa bungeni maana yake soon hicho kigezo Cha kupitia JKT kinafutwa na watu wanaanza kuingia kamserereko.. kama unaconnection huu ndo mwaka wako kabsasijaelewa hapa mkuu. Kwamba sifa ya kutokea jkt wanaitoa au?
Hakuna Cha ronja Tena ajira mpaka mwakan[emoji1787]Mwezi wa pili unakatika huu wajomba. Lonja lonja lonja wazee, lonja…
No utasikia tunasubil bunge la bajet!!! Ah ah ahHakuna Cha ronja Tena ajira mpaka mwakan[emoji1787]
Oya, kweli au..!? 😃Hakuna Cha ronja Tena ajira mpaka mwakan[emoji1787]
Daaah 😀No utasikia tunasubil bunge la bajet!!! Ah ah ah
Ramli za jw ngumu sana 😅hiii imeenda [emoji38]
Apambaneee ...na madogo home boy mshua Alikuwa brigedia Gen dogo ajira za police kala za uso , uhamiaji kala za uso kote aliomba Ana skilzia Tpdf japo huko mzee alipamban bro wake mipango ikabumaHuyo JKT miaka miwili then mtaa miaka mitatu atakuwa na 29 ko huenda akapata kama unaconnection
sio poah mzee, khaaa….😅Ramli za jw ngumu sana 😅
Ramli za jw ngumu
Ndo mana ukaambiwa JW halitabiliki. Unaweza kuta hilo limewekwa ili watu wajisahau, wapunguze kupiga simu kwa mimbanga yao kwa kuhisi washakosa…Ramli za jw ngumu sana 😅