Punguza ukali wa maneno kakaπKama hujatumiwa sms mpaka sasa.
Tafuta kibarua
Duh mshikaji ata kutupa moyo Amna ,, hajui kama sisi ni watafutaji wenzakePunguza ukali wa maneno kakaπ
Hata kama ni ukweli
Kwa kigezo gan mkuu? Mm niko msata hapa rts zoez la sms halijaanza bado acha kupotoshaKama hujatumiwa sms mpaka sasa.
Tafuta kibarua
Hajui mioyo ilivyoraruka kwa taarifa hiyoDuh mshikaji ata kutupa moyo Amna ,, hajui kama sisi ni watafutaji wenzake
Nimesema ikifika tarehe 2 mwez wa 9 hujapata sms ujue ndo ntoleeHajui mioyo ilivyoraruka kwa taarifa hiyo
Yani wewe kama nani mkuu,,, mtu atumiwe sms asije kisa n mwembambaPamoja na vingine vilivyowahi kutajwa.
Kama ni mnene sana au mwembamba sana.
Bakia kwenu
Wewe ndo huwaambii ukweli.Kwa kigezo gan mkuu? Mm niko msata hapa rts zoez la sms halijaanza bado acha kupotosha
Muongo huyoDuh mshikaji ata kutupa moyo Amna ,, hajui kama sisi ni watafutaji wenzake
πππKama hujatumiwa sms mpaka sasa.
Tafuta kibarua
Ukija RTS utanikuta mkuuππππYani wewe kama nani mkuu,,, mtu atumiwe sms asije kisa n mwembamba
Sasa haya ni maneno ya kutoa presha watu? Ofkooz uko sawa watu wasiwe na expectation kubwa kupita kias lakin sio kwa staili hii mkuu, zoez la sms bado lakin pia si kila mtu hapa jf aliyeomba atapata. Huu ndio ukweli.. kalaga baho hapa hata kuomba sijaomba lakin nasubiri sms.. so life is still exist in its simplicity wayWewe ndo huwaambii ukweli.
Maisha sio jeshini tu kuna jamaa mmoja humu aliwahi kusema.
Vijana wenzangu, ni kweli tunatamani kuona kesho yetu iliyobora angalau hata kwa hichi ambacho tunakisubiria.
Lakini tusiwe na over expectations wakuu.
Kama mmeandikiwa kwenda kuandikishwa jeshini basi mtaenda tu.
Shida wengi wetu humu, pressure ni nyingiπ
Unakufa leo kwa pressure, kesho unatumiwa sms
Sasa haya ni maneno ya kutoa presha watu? Ofkooz uko sawa watu wasiwe na expectation kubwa kupita kias lakin sio kwa staili hii mkuu, zoez la sms bado lakin pia si kila mtu hapa jf aliyeomba atapata. Huu ndio ukweli.. kalaga baho hapa hata kuomba sijaomba lakin nasubiri sms.. so life is still exist in its simplicity way
Nakuelewa mkuu ila watu wanaweza kulibeba hili leo wakashindwa hata kushuglika na wake zao mitaani kwa stress. Tutashindwa kuzaana! Hiv unajua ujumbe kama huu ukifika hapa ni kina Padone EPM wangapi leo watalala na njaa?We jamaa unajua sana sema ni vile ulichelewa kunielewa.
Ili usife kwa presha za lonja,πππ
Hakikisha kila taarifa inayopita machoni mwako unaifanyia upembuzi yakinifu.
Hilo litakusaidia sana.
Watu wengi humu ndani kila taarifa wanayoipata wanaichukua kama ilivyo bila kuichekecha.
Mbaya hiyoooooo.
Uyu ndo alitakiwa ajiite mlevi mmoja ππ abadilishe na dp kabsaNakuelewa mkuu ila watu wanaweza kulibeba hili leo wakashindwa hata kushuglika na wake zao mitaani kwa stress. Tutashindwa kuzaana! Hiv unajua ujumbe kama huu ukifika hapa ni kina Padone EPM wangapi leo watalala na njaa?
Na jina ulilojipa linaheshimika sana humu. KJ ni mamlaka hayo ππ
πππ mkuu KJ07 Mwambie MLEVi Mmoja akupe bapa moja kwanzaUyu ndo alitakiwa ajiite mlevi mmoja ππ abadilishe na dp kabsa
Mungu wetu sote mkuu, tuendelee kumuomba atufungulie na sisiNakuelewa mkuu ila watu wanaweza kulibeba hili leo wakashindwa hata kushuglika na wake zao mitaani kwa stress. Tutashindwa kuzaana! Hiv unajua ujumbe kama huu ukifika hapa ni kina Padone EPM wangapi leo watalala na njaa?
Na jina ulilojipa linaheshimika sana humu. KJ ni mamlaka hayo ππ
I believeMungu wetu sote mkuu, tuendelee kumuomba atufungulie na sisi
maana waliopo ndani sio kwamba kuna kitu cha spesho sana walimfanyia.
Kingine hzo anonymous names zisikuogopeshe mkuu.
πππππ.
Ukituona physically ni watu wa hovyo mnoooooo kuliko hata wewe.
Saa ingine na sisi tunasubiria sms.
πππ
πππ mkuu KJ07 Mwambie MLEVi Mmoja akupe bapa moja kwanza