Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Watu kila siku tunaambiwa tunywe maji ya kutosha lakini tupo bize na lonja.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hahah mi Mdogo wang tayar sms imeingia na doso nitampa mim mwenyew ole wale mtakao kuwa kihelehele kwa mabinti wazuri dunia itawahusu
 
Kwahyo kesho vijana wanaanza kuripot hapo shuleni
 
Waambie na hawa vijana wa hapa mahitaji gani wawe nayo ili waanze kujiandaa mapema.
Daah mwaka juzi nilipata bahati kufikia hadi kuambiwa niandae nini na nini nikareport Oljolo Dk za mwisho ikapigwa aziwea sina hamu. Sema tu sikuleta papara kununua vitu la sivyo kingenilamba ila nilichukua boxer nyingi sana kama walivyosema kwa wakati ule..

Kila la kheri kwa mtapata sms mkapite kwenye sahili zenu.
 
Ilikuaje mkuu haukuripoti kwa nn au uliipoti ukatokea unfit? Lete maneno hayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…