Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Alafu kwa wale ambao walikuwa wakifatilia hii trend tokea mwaka jana watakumbuka ya kwamba nilisema kitu ambacho adi asaivi sina cha kuongeza wala kupunguza( "Amini kwamba watu wameshakaa chini wakabuni mazingira yao ya kuupiga mwingi kwenye chaguzi zijazo tena mm ninaona. Kabisaa watu watakaoitwa kwenye iyo ajira watakuwa ni wengi saana tu kutoka uraiani tena bila kupiganisha Wala nn so apo kinachoitajika ni stamala tu na kunywa Maji mengi ili kusudi moyo uelee vijana mpo hapo!!!")
 
Naweza kuunga mkono kwaiyo maswala ya limit za miaka na kuhusu wa uraiani ni wale waliopitia JkT au Ata ambao hawajapitia Jkt ufafanuzi kidogo
 
Endelea kudanganya wenzako
 
Wadau mlioko huko JW naomba kufahamu huyo mwamba hapo kushoto kabisa ni kikosi gani,mbona vazi lake ni tofauti, na pia inahitaji nini ili mtu avae gwanda kama hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…