Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Wa tisa apo ni vipimo wakumi uzalendo tu wa 11 koziMbali sana mbona
Mm siwez kuja mkuu, sijaomba hizo wala sijaombewa kabisa. Niko nafatilia frem kariakoo nipige biasharaKalaga Baho tukutane area B apa kesho mapema nikupe mdg wang
Hahaha duuuh Mbna niliongea kweny comment zang za nyuma nikasema kuna watu ni private wanamibuyu mikubwa huyu kaletwa apa jana nilikuw namnunulia mahitajKaitwa kwa sms au maelekezo ya mbanga
Alaf Kuna Uzi nliona we jamaa umeandika unataka kuoa asa sjui jeshin unaenda kufanyaje akat unataka uoe saivi🤣Mm siwez kuja mkuu, sijaomba hizo wala sijaombewa kabisa. Niko nafatilia frem kariakoo nipige biashara
Ila atanifaa huyo akirudi mwambie achague kambi aitakayo nitoe maelekezo apelekweKalaga Baho tukutane area B apa kesho mapema nikupe mdg wang
Alaf Kuna Uzi nliona we jamaa umeandika unataka kuoa asa sjui jeshin unaenda kufanyaje akat unataka uoe saiviMm siwez kuja mkuu, sijaomba hizo wala sijaombewa kabisa. Niko nafatilia frem kariakoo nipige biashara
Inatokea tu mkuu mwaka huu au mwakan naoa sitaki tabu. Siwezi kuajiriwa mm nikakwepe mabomuAlaf Kuna Uzi nliona we jamaa umeandika unataka kuoa asa sjui jeshin unaenda kufanyaje akat unataka uoe saivi🤣
Duuuh noma. Kwahyo mkuu kozi ikiisha ukishapangiwa kikosi utaishi kota kwa mda wa miaka6 ndo uachiwe ukajenge sasa mtaani au?Hahaha duuuh Mbna niliongea kweny comment zang za nyuma nikasema kuna watu ni private wanamibuyu mikubwa huyu kaletwa apa jana nilikuw namnunulia mahitaj
Apo ni wew tu kuna watu mwaka wa pili tu wamepanga kitaa ila geto litakuwa linakumisi sanaDuuuh noma. Kwahyo mkuu kozi ikiisha ukishapangiwa kikosi utaishi kota kwa mda wa miaka6 ndo uachiwe ukajenge sasa mtaani au?
Ahaaa kwahyo sio lazma ukae kota kumbeApo ni wew tu kuna watu mwaka wa pili tu wamepanga kitaa ila geto litakuwa linakumisi sana
We jeshi halipo damuni mkuu ndo maana unaongea hvo we unafata maokoto 🤣🤣Inatokea tu mkuu mwaka huu au mwakan naoa sitaki tabu. Siwezi kuajiriwa mm nikakwepe mabomu
We jeshi halipo damuni mkuu ndo maana unaongea hvo we unafata maokoto🤣🤣Inatokea tu mkuu mwaka huu au mwakan naoa sitaki tabu. Siwezi kuajiriwa mm nikakwepe mabomu
Alafu hawaangalii ufaulu mshikaji alikua na four ya 31Hahah duuuh msomera watu wamezimia so poah wamebeba 800 afu jumla walikuwa 2700 hahha mtu kama buku moja na mia tisa wameachwa afu kuna mtu anakwambia bogi litakuwa na watu 7000 kwelii duuuh
Mm silielewi kabisa mkuu, baba anitume tu lakini sielewi kabisa yani. Ila nimesema humu ukiwa hujatumiwa sms kufikia tarehe 2 bas ntoleee mana hiyo inabakia kuwa kesi ya watu maalum tu. Na hapo usahilin hapo kuna shesheWe jeshi halipo damuni mkuu ndo maana unaongea hvo we unafata maokoto🤣🤣
Ushaidi ni weweUshahid mnao?
Unatoaje ushahid kwa muuza duka kariakoo habari yet kama hizo?Ushaidi ni wewe
Nitaporomoshanchenja hapa kwaza nipo nakimbia hapa mbio za usikuWee ni muongoo mwachiii, tutolee njegekaa zakoo hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukifika pale unasema "Mi baba kanituma" unaambiwa "Kamlete babaako hapa"Mm silielewi kabisa mkuu, baba anitume tu lakini sielewi kabisa yani. Ila nimesema humu ukiwa hujatumiwa sms kufikia tarehe 2 bas ntoleee mana hiyo inabakia kuwa kesi ya watu maalum tu. Na hapo usahilin hapo kuna sheshe
Msomera ilikusanya vijana kutoka vikosi vingi vijana wa op mabeyo msomera ilikuwa bogi la ujenzi mkuu.kule sio kikosiKwanini hawa wamechukuliwa wengi hivi ni kambi moja au ndo wale wa mobeyo?
Hizo four za mwisho huwa ndio wanazipendq hawataki kusumbuliwa kwenda kusoma😀Alafu hawaangalii ufaulu mshikaji alikua na four ya 31