Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mm silielewi kabisa mkuu, baba anitume tu lakini sielewi kabisa yani. Ila nimesema humu ukiwa hujatumiwa sms kufikia tarehe 2 bas ntoleee mana hiyo inabakia kuwa kesi ya watu maalum tu. Na hapo usahilin hapo kuna sheshe
Ukifika pale unasema "Mi baba kanituma" unaambiwa "Kamlete babaako hapa"
 
Back
Top Bottom