Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Habarini za mchana wakuu,Watu waliopigiwa simu hawa wa mtaani kwenda kuripoti makutupora wameambiwa kuripoti mwisho ni kesho.Wakifika wananakula wembe kichwani.Bogi linaatakiwa kuondoka kwenda msata mwez wa kumi mwanzoni.
Waliowahi kuwa makambini? Au wote wa mtaani? Haijalishi kama walishawai kuwa kambinu au lah? Simu zingine hazitaita?
 
Asiwadanganye mtu hamna hamna aliepigiwa simu hadi sasa wala alotakiwa kuripoti Makutopora. Mimi ni raia tu wakawaida nipo hq kitengo cha IT nimejitolea nimetok direct chuo. Hata hapa makao hamna mtu mwenye taarifa hio lini watawapigia simu au itaratibu utakuaje..au angalieni hata nyie au mtu aseme kama mbanga wake kampa utaratibu wwte utakavyokuwa
 
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa watu waliopigiwa simu ila majina yao hayakuwepo kwenye listi,Wamerudishwa na wameambiwa wawasiliane na mimbanga yao hii inaonesha kuwa mambo yamekazwa,Ukifika inabidi uoneshe namba ya simu iliyokupigia kwahiyo hakuna kuzamia.
[emoji2][emoji2]kumeanza kuchangamka
 
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa watu waliopigiwa simu ila majina yao hayakuwepo kwenye listi,Wamerudishwa na wameambiwa wawasiliane na mimbanga yao hii inaonesha kuwa mambo yamekazwa,Ukifika inabidi uoneshe namba ya simu iliyokupigia kwahiyo hakuna kuzamia.
Muda bado upo wa kupiga simu .. matapeli wanawadanganya vijana kwa simu pia
 
Asiwadanganye mtu hamna hamna aliepigiwa simu hadi sasa wala alotakiwa kuripoti Makutopora. Mimi ni raia tu wakawaida nipo hq kitengo cha IT nimejitolea nimetok direct chuo. Hata hapa makao hamna mtu mwenye taarifa hio lini watawapigia simu au itaratibu utakuaje..au angalieni hata nyie au mtu aseme kama mbanga wake kampa utaratibu wwte utakavyokuwa
Naunga mkono hoja🫡👏
 
🤔🤔 Una uhakika makutupora Amna walioripoti
 
Back
Top Bottom