king kanesh
Member
- Sep 12, 2024
- 60
- 64
Sikufeli kwamba ni unefeat aaaa la hasha Bali ilitengenezwa un feat ya kubumbwa nikapigwa chin coz nilikua aina maelekezo yaanKwanini ulifeli?
Tuelezee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikufeli kwamba ni unefeat aaaa la hasha Bali ilitengenezwa un feat ya kubumbwa nikapigwa chin coz nilikua aina maelekezo yaanKwanini ulifeli?
Tuelezee
Acha ww nikizamia ikitokea nimedakwa ah na waambia mm nipo tayar kula doso lolote ila hilo doso nikitoboa waniache mm niendelee na mzigoNa wewe unaetaka kuingia kwa kujipachika sogea tu hapo uzamie na kwenye list haumo hapo ndio utasema umefikaje.
Nakuapia utajua kwanini gundi haigandi kwenye kopo lake.
Ule doso usile doso ni hautakiwi kuwa pale na je kama wewe ni mamluki maana unakua utambuliki paleAcha ww nikizamia ikitokea nimedakwa ah na waambia mm nipo tayar kula doso lolote ila hilo doso nikitoboa waniache mm niendelee na mzigo
Siwezi nikawa mamluki naakati nimesha tuma maomb ya jeshi hii ni mara ya tatu ko hata wakikagua taarifa zangu chet cha kuzaliwa ninacho mm ni mtanzania halali tena sio chet cha kutafuta ukubwani aa toka Nizaliwe ko si wez ni Kawa mamluki kihvyo yaanUle doso usile doso ni hautakiwi kuwa pale na je kama wewe ni mamluki maana unakua utambuliki pale
Ko unani shauri ni tulie tu mkuuUle doso usile doso ni hautakiwi kuwa pale na je kama wewe ni mamluki maana unakua utambuliki pale
Kama una inshu nyingine endlea nazo tu ,,, ni ushauri tuKwa anae jua iv wamtaaan wataaanza kuitwa lin mana tushakaa na cm karbu mpka tumechoka
Hizi habari umezitoa wapi mkuuHabarini za mchana wakuu,Watu waliopigiwa simu hawa wa mtaani kwenda kuripoti makutupora wameambiwa kuripoti mwisho ni kesho.Wakifika wananakula wembe kichwani.Bogi linaatakiwa kuondoka kwenda msata mwez wa kumi mwanzoni.
Kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika,Ameniambia watu wa mtaani walianza kupigiwa simu juzi wakipewa maelekezo waende kuripoti makutupora,Mwisho wa kuripoti ni kesho na wameambiwa wabebe vitu vya muhimu vyote maana hakuna kurudi wakitoka hapo mwez wa kumi mwanzoni wanaelekea msata.Hizi habari umezitoa wapi mkuu
Ko wameitwa wengi auKwenye vyanzo vyangu vya kuaminika,Ameniambia watu wa mtaani walianza kupigiwa simu juzi wakipewa maelekezo waende kuripoti makutupora,Mwisho wa kuripoti ni kesho na wameambiwa wabebe vitu vya muhimu vyote maana hakuna kurudi wakitoka hapo mwez wa kumi mwanzoni wanaelekea msata.
Duh kama kwel hv jaahKama una inshu nyingine endlea nazo tu ,,, ni ushauri tu
Hapo idadi nitakudanganya,Taarifa niliyopewa ni wameshawapigia simu watu waliopo mtaani na mwisho wa kuripoti makutupora ni kesho,Watasafirishwa kwenda Msata mwezi wa 10 mwanzoni.Nitaendelea kuwapa info accordingly.Ko wameitwa wengi au
Oljoro vipi haipigishi?Hapo idadi nitakudanganya,Taarifa niliyopewa ni wameshawapigia simu watu waliopo mtaani na mwisho wa kuripoti makutupora ni kesho,Watasafirishwa kwenda Msata mwezi wa 10 mwanzoni.Nitaendelea kuwapa info accordingly.
Nitakupa majibu mazuri watakopokuwa wanakaribia kuondoka kwenda Msata.Oljoro vipi haipigishi?